VIWANJA DOM
Member
- May 9, 2018
- 66
- 51
Hakuna kipa wa maana kabisa. wote wameunga unga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikumbushe Yanga kashika nafasi ya ngapi VPLNi kweli ila leo ni Mtibwa na Singida ujue Mtani. Hahahaaa.
Hahaaaa. Sawa ntakuja navyo aiseee.Hahaha, sio miwa tu hadi wali utakula na kusaza we njoo na samaki tu
hahahaha
Hahaaa. Ukaona weye ndio unialike. Lol.Hahahah, nimesubiri sana mwaliko naona kimya
Hahaaaaa. Lol.Nikumbushe Yanga kashika nafasi ya ngapi VPL
Hulali?Hahaaaaa. Lol.
Ngoja nikagoogle Mtani. Teh teh.
Mbona kushakucha Babu.Hulali?
Twenzetu kanisani sasa...Mbona kushakucha Babu.
Hahaaaa. Lol.Twenzetu kanisani sasa...