Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

The bos

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
350
Reaction score
80
Ukipita mitaa mbali mbalimbali yenye matawi ya simba utakuta vijana kwa wazee wametulia wakisubiri ushindi wa leo dhid ya mtibwa.

Simba imetimia na kutulia sawasawa kiwango kipo juu na hii itadhihirshwa leo pale uwanja wa amani.SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Mechi saa ngapi wakuu, mtibwa nao wako vizuri hii mechi itakuwa ngumu sana.
 
Mechi saa 2.15 baada ya swalat Insha-a!

ELEZEA JIONI ,USIKU SIO KILA MTU ANASWALI HIYO SWALA ALAH
 
Washabiki wa Simba wameonekana kwa wingi wakiwa wanaelekea Bandarini kupanda boti kuelekea Zanzibar wakiwa na wapenzi wao wa moyoni kama huyu hapa chini. Ila mpenzi wake kama vile hana furaha.
 
Leo simba lazima wakae mbele ya mtibwa, mwenye kubisha anyoshe mkono juu!

Wewe waache, watese muda huu maana wana muda mchache wa kutesa, baada ya saa 4:30 usiku mjini patakuwa kimyaaaa wakati kule Manungu mambo yatakuwa cherekochereko.
 
Eti Usitukane mamba kabla ujavuka mto! Mto wenyewe MANUNGU? Natukana mpaka 'nakunya' na bado navuka. CHEZEA SIMBA WEWE!
 
Wewe waache, watese muda huu maana wana muda mchache wa kutesa, baada ya saa 4:30 usiku mjini patakuwa kimyaaaa wakati kule Manungu mambo yatakuwa cherekochereko.
Hawa JKU wametukosesha uhondo sana maana ilikuwa ni kutoka tunajiramba tu kama paka katoka kunywa maziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…