Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

ukipita mitaa mbali mbalimbali yenye matawi ya simba utakuta vijana kwa wazee wametulia wakisubiri ushindi wa leo dhid ya mtibwa.

Simba imetimia na kutulia sawasawa kiwango kipo juu na hii itadhihirshwa leo pale uwanja wa amani.simba oyeeeeeeeeeeeeeeeee

woyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Namhala hiyo nimeiona, ninachosema ni hawa JKU kutuangushia mtani wetu kabla hatujakutana naye, tulitaka mtani wetu asogee sogee ili tukutane hata kama ingekuwa ni nusu fainali poa tu lakini JKU nao kwa sababu ya kiherehere chao na kutaka sifa wakamwangusha mtani wetu ndo maana nasema wametukosesha uhondo.

aaaajaaaaaa happy
 
We bwana we! Mambo ya Yanga sio kuyataja hapa watatushukia na uzi huu uharibike bure! Wewe msifie tuu huyo bibie kwamba kajaliwa sana hayo makalio pia hiyo nguo yake ya rangi ya njano na kijani imemtoa kisawasawa!

aaaaahaa nimecheka paka bas.daaa mrembo mashalaaaaa wowoo hilo duuuu kaumbika kisawasawa kwa chakulaaaa
 
aaaaahaa nimecheka paka bas.daaa mrembo mashalaaaaa wowoo hilo duuuu kaumbika kisawasawa kwa chakulaaaa

Kuna jamaa mmoja kutoka Brazil anaitwa Maksi wa Mo alikuja kwa mbwembwe ile mbaya! Ila alivyokuja gundua huyo dada anaachia kama hana akili nzuri akaona isiwe shida ngoja nijirudie nyumbani mie. Sasa mkuu we ona mwenyewe huo mgongo hata huyo Maksi Wa Mo alikuwa hataki kufaidi? Sasa huyo jamaa Red wa pale Msimba Wizi yeye anajilia kwa ulaini tuu.
 
hafu nasikia ndo aliemfumua malinda.duuu huyu msimbaz anafaid bana
 
hivi hili bonanza bado linaendelea tu,nilizania lilimalizika tangu jana bana...
 
hivi hili bonanza bado linaendelea tu,nilizania lilimalizika tangu jana bana...

Hata kama ni bonanza kwani wanacheza kwa mikono? Au kwa dakika 50? Au sheria zinazotumika pale sio za fifa bali za WBC? Ukipata majibu hayo njoo tena mkuu.
BTW imekuwaje tena akina Kaseja mnawafanya chanzo cha mapato kwa kupanga wawalipe ngapi? Mzee mwenyewe Manji kafulia au ameshtuka kufanywa buzi hivyo kakata kamba?
 
mkuu hata mechi za hapa uwani kwetu zinachezwa kwa miguu,dk 90 na zinachezeshwa kwa sheria za fifa.ila mshindi anapewa Mbuzi
 
Hata kama ni bonanza kwani wanacheza kwa mikono? Au kwa dakika 50? Au sheria zinazotumika pale sio za fifa bali za WBC? Ukipata majibu hayo njoo tena mkuu.
BTW imekuwaje tena akina Kaseja mnawafanya chanzo cha mapato kwa kupanga wawalipe ngapi? Mzee mwenyewe Manji kafulia au ameshtuka kufanywa buzi hivyo kakata kamba?

Eti hadi jaja habari ya mujini nae amegeuzwa sehemu ya kuingizia mapato, ndala wanafurahisha sana. Kanjubhai naona mifuko ishaanza toboka.
 
mzee kwa simba hii sahau kabisa kufungwa

Simba hii ndiyo ile imemwonyesha njia ya kwenda Lusaka Mwl. Phiri baada ya kufungwa na Kagera Sugar. Simba hii ndiyo iliyokubali kipigo cha tiGO moja toka kwa Mtibwa Sugar hii hii katika hatua ya makundi ya mashindano haya haya! Simba hii hii ndiyo ile isiyo na golikipa; sasa wewe unataka kutuaminisha nini jioni hii ya leo?
 
Simba isiyo na golikipa! He sasa sheria inaruhusu kucheza bila golikipa? Wewe usije kuwa unazungumzia mashindano ya kugombea kuku mtaani kwenu. Hii tunazungumzia kombe la Mapinduzi ya Kumng'oa Sultan Jamseed kule Zanzibar ambayo yalishirikisha timu nyingi zikiwemo KCC ya Uganda na Yanga (ambayo bahati mbaya ni kuwa imeonyesha kiwango duni kama timu ya daraja la tatu sijui kwa nini, labda njaa) ambazo zote kwa nyakati tofauti zilishaondoka.
 
Eti hadi jaja habari ya mujini nae amegeuzwa sehemu ya kuingizia mapato, ndala wanafurahisha sana. Kanjubhai naona mifuko ishaanza toboka.

Hatua hiyo ni mahsusi kwa ajili ya kuwaadabisha wale wote wasiozingatia mikataba. Kukuhakikishia kuwa Yanga hatuna njaa kama ninyi nenda pale TFF ukaone kuna Miloni 200 za udhamini wa Azam TV zimerundikana pale kwa jina la Yanga halafu hazichukuliwi wakati ninyi mmekula kila kitu na mnatamani hata hizo mpewe; ongeeni na TFF wakikubali chukueni tu.
 
Back
Top Bottom