Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

Lisha ya kuchezesha idadi kubwa vijana timu ya Simba imeweza kuwabana vilivyo timu ya Azam iliyo na kikosi kamili katika mchezo wa fainali na Azam kupata ushindi mwembamba ya goli 2 kwa 1
Magoli ya Azam yakufungwa na mudathir Yahya na Obrey Chirwa huku la Simba likifungwa na Yusuph Mlipili
Hongereni vujana wa Simba mmejitaidi na hongera pia kwa ubingwa Azam FC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana Timu ya simba kwa kukosa kuchukua Kombe la Mapinduzi. Natumaini timu iliyocheza ni timu B.
 
Hongera azam, msimbazi walijiona kama Barcelona dhidi ya jss, wakati tim yenyewe haijulikani huko algeria. Hata ndala fc ingeshinda jana.
Ingeshindaje wakati haina uwezo wa ku qualify kucheza mechi kama aliyocheza simba jana...kachezeni nao basi na nyinyi kama unafikiri kila anayejisikia anaweza kucheza nao...vyura bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Write your reply...ASANTE AZAM KWA KUMNYAMAZISHA SIMBA WA MABOX
Vyura bana...mmejitokeza kutoka mlikokuwa mmejificha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...sisi tumerudi na milioni kumi...vyura mmerudi na nini??
 
Dis is football..we hv many competition on hand.we thnks also for dis step we made..congra to my player team b..let us concetrate on huge comptxn.

Sent using [galaxy S6 edge]Jamii Forums mobile app[/url]
 
Jamani waoneeni huruma hawa vyura walichofata Zenji ni boti la azam tu kile kiberenge chao kimewakomaza makalio. Basi siti mabenchi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera azam, msimbazi walijiona kama Barcelona dhidi ya jss, wakati tim yenyewe haijulikani huko algeria. Hata ndala fc ingeshinda jana.
Haijulikani inakuwaje katika timu zao zote yenyewe ipo inawawalilisha klabu bingwa?
Upuuzi mtupu, ayaa sherekeheni leo angalau azam kashinda maana ilikiwa kila timu mnayoishangilia dhidinya simba inapigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ