Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete pia matokeo ya Taifa match ya marudio ilikuwaje. Naona unatukana mamba kabla hujavuka mto kumbuka hujaenda kwao na kule Misri.
Mikia hongereni kwa ubingwaZIMEBAKI saa kadhaa kabla ya Klabu ya Azam FC kuvaana na Simba katika fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba leo saa 9.30 jioni.
Wakati Azam FC ikitinga fainali baada ya kuichapa KMKM mabao 3-0, Simba yenyewe imeshinda kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 3-1 dhidi ya Malindi kufuatia dakika 90 kumalizika kwa suluhu.
Mchezo huo unakumbushia fainali ya mwaka 2017, Azam FC ilipoifunga Simba bao 1-0, bao lililofungwa na nahodha wa zamani wa timu hiyo, Himid Mao ‘Ninja’, kwa shuti la mbali lililomshinda aliyekuwa kipa wa Simba, Daniel Agyei.
Azam FC itaingia kwenye mchezo huo ikisaka taji la tano la michuano hiyo, na ubingwa wa tatu mfululizo, utakaoifanya kuandika rekodi mpya ya kuwa timu pekee kuwahi kufanya hivyo.
Kila ikiingia fainali, Azam FC mara zote imeweza kufanikiwa kutwaa taji hilo, ambapo kihistoria imelitwaa mwaka 2012, 2013, 2017, 2018.
Mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa, ataingia kwenye mchezo huo akitaka kuendeleza moto wake wa kufunga mabao hadi sasa akiwa ndiye kinara wa kupachika mabao kwenye michuano hiyo, akiwa amefunga manne.
...........
Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura jana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, wachezaji watatu wa Simba wamesafiri leo kuelekea Zanzibar kuongeza makali ya Mapinduzi CUP.
Haruna Niyonzima, Rashid Juma na Shiza Kichuya ndiyo waliosafiri kuelekea visiwani humo tayari kwa fainali hiyo.
Simba ilitinga fainali baada ya kuiondoa Malindi FC kwa mikwaju ya penati ikiwa ni baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu ya 0-0.
=====
Azam FC wananyakua kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga Simba SC Tanzania mabao 2-1 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Gombani huko Pemba.
Wametangulizwa na baiskeli ya miti,wahehe wanaita kibagaduAsante sana Azam kwa kufuta ndoto ya Mikia ya kuchukua kombe lolote msimu huu. Najua kule Ligi ya Mabingwa sina hofu na Al Ahly na AS Vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeWametangulizwa na baiskeli ya miti,wahehe wanaita kibagadu
Mbona umeishia hapo kutuapudeti MkuuMlipili Yusuf analevel aggregate hapa, one one dakika ya 63.
Kuwa mpole vibonde wa africa simba level nyingineLete pia matokeo ya Taifa match ya marudio ilikuwaje. Naona unatukana mamba kabla hujavuka mto kumbuka hujaenda kwao na kule Misri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia wanaongozwa na hisia za mzungu waoWana kikosi kipana na wanaweza kucheza kila siku. Jana waliwaonea Waarabu wale waliotoka Pemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Level ya wapi mkuu wakati mmepigwa 2-1? Kipigo kijacho as vita
Nimefurahi sana Azam alichokifanya kwa kufuta ndoto zenu ya kuchukua kombe pekee mlilokuwa mnalitegemea na kuliota mno. Msimu huu mnaondoka kapa.Kutoka Zenji Simba wamerudi na10ml..Yanga wamerudi na Ubuyu[emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi sana Azam alichokifanya kwa kufuta ndoto zenu ya kuchukua kombe pekee mlilokuwa mnalitegemea na kuliota mno. Msimu huu mnaondoka kapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba Queen 7, Yanga Princes 0Yanga msisahau kua mlikuwepo kwenye haya mashindano na hamjaambulia chochote afu simba tumeondka na M10
Sent using Jamii Forums mobile app