Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

Utetezi wetu unajulikana na mnaujua. Nyie semeni tu Azam ni ngoma nzito kwenu wacheni kuruka ruka.
Utetezi wenu upi..mbona unaogopa kuuandika hapa....Nyie kwenu azam ni ngoma nyepesi...nikumbushe mliwafunga ngapi Azam??😂😂😂😂...tabu ipo palepale
 
Vipi sahivi mnaamia kushangilia alhaly tena...mana ckuhz Yanga si timu ya mpira wa miguu Yanga ni kikundi cha washangiliaji
Yaani huo ndio Ukweli na kama mimi sioni shida kabisaaa. Ntahama mpaka mwisho.

Mkicheza na Alliance tu nakuwa huko ije kuwa na Al Ahaly.
 
Sawasawa kikundi cha ushangiliaji..mlianza na mbabane,mkaja nkana..juzi mmeamia kwa waarabu...tunatoa kipigo kwa hizo timu na kikundi chake cha washangiliaji😂😂😂😂...tabu nyingine mnajitakia tu
 
Umeisahau Azam. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom