Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
kweli shemela....Umeisahau Azam. 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli shemela....Umeisahau Azam. 🤣🤣🤣
wamefulia wanataka watuhamishe kwenye mjadala, na hatutaki sasa
hata kama tumerudi mikono mitupu, furaha yetu ni kuona mmefungwaVyura bana...mmejitokeza kutoka mlikokuwa mmejificha😂😂😂😂😂...sisi tumerudi na milioni kumi...vyura mmerudi na nini??
Mkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi 😂😂😂😂😂😂....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguuhata kama tumerudi mikono mitupu, furaha yetu ni kuona mmefungwa
Hahaaa. Naona unaruka ruka tu. Pole kwa kichapo bana.Kumbe walivyowafunga mlikuwa mnawashangilia...yani wanawapiga tatu huku mnawashangilia😂😂😂..tabu ipo palepale
Kwema Shem. Umemisika aisee, mzima?kweli shemela....
Na uwe makini ukishindana na washangiliaji maana usije ukaangukia Pua mtani. 🤣🤣🤣Mkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi 😂😂😂😂😂😂....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguu
Uuwiiii. Shikamoo Shemela. 🙈Mikia FC wamejambahhhh.....hhaa hhaaa....
Wanaorukaruka ni mashabiki wa gongowazi a.k.a ombaomba fc hawajui timu ya kuishabikia😂😂...na wewe pole kwa kipigo cha mbwa koko...naona unatoa pole kwa wenzio wakati na wewe unaugulia maumivuHahaaa. Naona unaruka ruka tu. Pole kwa kichapo bana.
aah wapiMkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi 😂😂😂😂😂😂....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguu
Mkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi 😂😂😂😂😂😂....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguu
Sababu ya tambo zenu kwa 100% mikia ndio mnaumia si tuliona kawaida sababu ukubwa wa kikosi chetu unajulikana.Wanaorukaruka ni mashabiki wa gongowazi a.k.a ombaomba fc hawajui timu ya kuishabikia😂😂...na wewe pole kwa kipigo cha mbwa koko...naona unatoa pole kwa wenzio wakati na wewe unaugulia maumivu
Kwani tukiangukia pua kuna ubaya...alafu tukiangukia pua nyinyi makwasukwasu fc yanawahusu nini😂😂Na uwe makini ukishindana na washangiliaji maana usije utaangukia Pua mtani. 🤣🤣🤣
Hahahaaaaa. Lol.Kwani tukiangukia pua kuna ubaya...alafu tukiangukia pua nyinyi makwasukwasu fc yanawahusu nini😂😂
Nyie hamuumii...hahaaaah ombaomba mlivyo mafukara mlivyokuwa mmezitolea macho izo milioni 15 mseme hamjaumia...hahah sizitaki mbichi hiziiSababu ya tambo zenu kwa 100% mikia ndio mnaumia si tuliona kawaida sababu ukubwa wa kikosi chetu unajulikana.
Haa haa haaaaaa.Kwema Shem. Umemisika aisee, mzima?
Wananichanganya mikia wakati wamechezea kichapo halafu wanabaki kudai wameambulia M 10. Khaa