Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

Hahahaaa. Naona mnatafuta pa kujifichia. 🤣🤣🤣🤣.

Ila hamueleweki aiseeee. Poleni
Poleni nyinyi ombaomba mliorudi mikono mitupu na kipigo cha mbwa koko😂😂😂😂
 
Asante kwa pole ya Azam.

Pole pia na wewe kwa Yanga Princess kufungwa na Simba Queens.
Toka lini mkachambua hizo ligi za wanawake humu. Semeni Watani zangu mmekosa pa kushika. 🤣🤣🤣
 
Toka lini mkachambua hizo ligi za wanawake humu. Semeni Watani zangu mmekosa pa kushika. 🤣🤣🤣

Toka lini umewahi kuona timu inajigawa mara mbili?

Moja Zanzibar (Mapinduzi) na nyingine Klabu Bingwa Afrika. Kila kitu kina mwanzo.
 
Back
Top Bottom