Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Haya bana Mtani. Asubuhi njemaSisi tulivyosikia tunacheza na Yanga ilibidi akili na ufundi tuhamishie kwa Yanga, maana Zanzibar mlitukimbia kwa kujifungisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bana Mtani. Asubuhi njemaSisi tulivyosikia tunacheza na Yanga ilibidi akili na ufundi tuhamishie kwa Yanga, maana Zanzibar mlitukimbia kwa kujifungisha.
Haya bana Mtani. Asubuhi njema
🙏🙏Na kwako pia.
Sawa sisi tumepewa kipigo tumerudi na milioni kumi...nyie mmepewa kipigo mmerudi na sh ngapi????Kipigo ni kipigo tu Mkuu.
Naona unarudi pale paleee. 🤣🤣🤣Sawa sisi tumepewa kipigo tumerudi na milioni kumi...nyie mmepewa kipigo mmerudi na sh ngapi????
Utetezi wenu upi..mbona unaogopa kuuandika hapa....Nyie kwenu azam ni ngoma nyepesi...nikumbushe mliwafunga ngapi Azam??😂😂😂😂...tabu ipo palepaleUtetezi wetu unajulikana na mnaujua. Nyie semeni tu Azam ni ngoma nzito kwenu wacheni kuruka ruka.
Wewe hongera kwa kuchukua kombe la mapinduzi😂😂😂😂Naona unarudi pale paleee. 🤣🤣🤣
Pole kwa kipigo Mkuu.
Ewaaaaaa. Nawe pole kwa kukosa Bara na Pwani.Wewe hongera kwa kuchukua kombe la mapinduzi😂😂😂😂
Nini hiki ulichoandika???bara ligi haijaisha...hata lipuli wanaweza chukuaEwaaaaaa. Nawe pole kwa kukosa Bara na Pwani.
Basi sawa Mkuu.Nini hiki ulichoandika???bara ligi haijaisha...hata lipuli wanaweza chukua
Hahaaah yanga kumbe ndo mmechukua mapinduzi cup😂😂😂😂😂Ewaaaaaa. Nawe pole kwa kukosa Bara na Pwani.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari sana hizi mambo.Hahaaah yanga kumbe ndo mmechukua mapinduzi cup😂😂😂😂😂
Vipi sahivi mnaamia kushangilia alhaly tena...mana ckuhz Yanga si timu ya mpira wa miguu Yanga ni kikundi cha washangiliajiBasi sawa Mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari sana hizi mambo.
Yaani huo ndio Ukweli na kama mimi sioni shida kabisaaa. Ntahama mpaka mwisho.Vipi sahivi mnaamia kushangilia alhaly tena...mana ckuhz Yanga si timu ya mpira wa miguu Yanga ni kikundi cha washangiliaji
Sawasawa kikundi cha ushangiliaji..mlianza na mbabane,mkaja nkana..juzi mmeamia kwa waarabu...tunatoa kipigo kwa hizo timu na kikundi chake cha washangiliaji😂😂😂😂...tabu nyingine mnajitakia tuYaani huo ndio Ukweli na kama mimi sioni shida kabisaaa. Ntahama mpaka mwisho.
Mkicheza na Alliance tu nakuwa huko ije kuwa na Al Ahaly.
Asante jiraniAzam walambishe koni hao ili leo tuweze kulala uzingizi maana kelele miji yote kana vile simba ni timu pekee iliyowahi kumfunga mwarabu kumbe ni maridio .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisahau Azam. 🤣🤣🤣Sawasawa kikundi cha ushangiliaji..mlianza na mbabane,mkaja nkana..juzi mmeamia kwa waarabu...tunatoa kipigo kwa hizo timu na kikundi chake cha washangiliaji😂😂😂😂...tabu nyingine mnajitakia tu
Kumbe walivyowafunga mlikuwa mnawashangilia...yani wanawapiga tatu huku mnawashangilia😂😂😂..tabu ipo palepaleUmeisahau Azam. 🤣🤣🤣