Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

hata kama tumerudi mikono mitupu, furaha yetu ni kuona mmefungwa
Mkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguu
 
Kumbe walivyowafunga mlikuwa mnawashangilia...yani wanawapiga tatu huku mnawashangiliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..tabu ipo palepale
Hahaaa. Naona unaruka ruka tu. Pole kwa kichapo bana.
 
Mkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguu
Na uwe makini ukishindana na washangiliaji maana usije ukaangukia Pua mtani. 🀣🀣🀣
 
Hahaaa. Naona unaruka ruka tu. Pole kwa kichapo bana.
Wanaorukaruka ni mashabiki wa gongowazi a.k.a ombaomba fc hawajui timu ya kuishabikiaπŸ˜‚πŸ˜‚...na wewe pole kwa kipigo cha mbwa koko...naona unatoa pole kwa wenzio wakati na wewe unaugulia maumivu
 
Mkikumbuka na kipigo cha mbwa koko walichowapa nyie ndo furaha inazidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....Yanga kutoka kuwa timu ya mpira wa miguu mpaka kuwa kikosi cha ushangiliaji wa mpira wa miguu
aah wapi

Sababu ya tambo zenu kwa 100% mikia ndio mnaumia si tuliona kawaida sababu ukubwa wa kikosi chetu unajulikana.
 
Na uwe makini ukishindana na washangiliaji maana usije utaangukia Pua mtani. 🀣🀣🀣
Kwani tukiangukia pua kuna ubaya...alafu tukiangukia pua nyinyi makwasukwasu fc yanawahusu niniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sababu ya tambo zenu kwa 100% mikia ndio mnaumia si tuliona kawaida sababu ukubwa wa kikosi chetu unajulikana.
Nyie hamuumii...hahaaaah ombaomba mlivyo mafukara mlivyokuwa mmezitolea macho izo milioni 15 mseme hamjaumia...hahah sizitaki mbichi hizii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…