Mbona watu wanashangilia,umeisha kweli?Mpira umekwisha
Sopu ana uwezo wa kukimbia na mpira! Mayele ni mzee wa one mistake, one goal!Fanya comparisoj na mayele nipe rate
Uto kapakatwaNani kafa?
Nani Kainamishwa huko?
ππ legendMtu anaitwa mwamnyeto mnamletea Sabuniπππ
Subiri mpaka dakika ya 120!! Baadoo!! πMpiraaaaaa umekwishaaaaaaa...............
Jitu kubwa ni babiyo huko kwenu kumbaf!kuna jitu kuumbwaa linaliwa kimasihara leo
πππππ legend
Bonge la gameSopu ana uwezo wa kukimbia na mpira! Mayele ni mzee wa one mistake, one goal!
Ngoja tuone penati itakuwaje. Kwa kusawazishwa kwa hili goli, lolote linaweza kutokea.
Hakika hii ni moja kati ya fainali bora kabisa za Kombe la shirikisho la Azam.