Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona watu wanashangilia,umeisha kweli?Mpira umekwisha
Sopu ana uwezo wa kukimbia na mpira! Mayele ni mzee wa one mistake, one goal!Fanya comparisoj na mayele nipe rate
Uto kapakatwaNani kafa?
Nani Kainamishwa huko?
😂😂 legendMtu anaitwa mwamnyeto mnamletea Sabuni😂😂😂
Subiri mpaka dakika ya 120!! Baadoo!! 😁Mpiraaaaaa umekwishaaaaaaa...............
Jitu kubwa ni babiyo huko kwenu kumbaf!kuna jitu kuumbwaa linaliwa kimasihara leo
😂😂😂😂😂 legend
Bonge la gameSopu ana uwezo wa kukimbia na mpira! Mayele ni mzee wa one mistake, one goal!
Ngoja tuone penati itakuwaje. Kwa kusawazishwa kwa hili goli, lolote linaweza kutokea.
Hakika hii ni moja kati ya fainali bora kabisa za Kombe la shirikisho la Azam.