Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Coastal Union kukosa uzoefu kwenye mikwaju ya penati ndiyo kumewaangusha. Wachezaji wa Yanga wameonesha ukomavu wa hali juu! Siku zote utu uzima dawa.

Ila wamejitahidi kwa kweli kuonesha ushindani ndani ya dk 120.

Sopu is a man of the match.

Yanga amechukua kombe! Ila mshindi ni Coastal Union. Wakatu fulani mpira una matokeo ya kikatili sana. Refa alijitahidi kuchezesha vizuri.

Hakika Bahati haikuwa upande wa Coastal Union.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…