Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Tatizo amelelewa na wapinzani wetu. Hivyo atakuwa tu na damu yao.Huyo dogo Sopu kama anahitaji mafanikio na makombe kama wenzake kina Nkane aje Yanga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo amelelewa na wapinzani wetu. Hivyo atakuwa tu na damu yao.Huyo dogo Sopu kama anahitaji mafanikio na makombe kama wenzake kina Nkane aje Yanga tu.
Mwanzoni si mlisema pesa hazichezi?Halafu watapiga fataki.
Coastal deserve to be winners.
Yanga kinachowasaidia ni hamasa ya wachezaji ( kwa kulipwa vizuri) na pia mfadhili wao anatumia pesa sana kupata mafanikio.
Vinginevyo anayejua mpira hassa Yanga hamna timu pale. Wana pesa.
Hawajui mpira hao au kosa mie najua kugegeda tuu wanadhani boli silijui🤣🤣🤣🤣🤣🤣MAKOLO walikupuuza hapa [emoji28]
NipoMkuu upo lakini?🤣
We si umesema tuna aibu, mi ndo nakuambia tuachie hiyo aibu tuwe nayo au nayo hutaki tuwe nayo unaionea wivu?Inini kwanza hiyo inayoonewa wivu? [emoji848][emoji847]
Kiatu cha MayeleKwahiyo sisi simba tumehamia kwa nani sasa maana sopu ndo huyo kaambulia medali na mpira
Ni mchezaji wa Simba alipelekwa kwa mkopo. Anarudi Simba msimu ujaoHuyo dogo Sopu kama anahitaji mafanikio na makombe kama wenzake kina Nkane aje Yanga tu.
Mimi hapana , Tanzania hii, pesa inaongea na imeongea kweli.Mwanzoni si mlisema pesa hazichezi?
Dah! We mgeni hapa bongo? Kwahiyo tangu uwepo hujawahi kuona timu inanyanyua makwapa makombe yote hapa Tz ?Ila wananchi msimu huu wamenyanyua makwapa na kuvaa medali aisee! Hii haijawahi kutokea katika historia.
Inamaanisha Yanga bingwa.Yani we nimekuona kuwa ni shabiki wa Yanga kwenye zile mechi za mwisho mwisho Yanga alizotangaza ubingwa
Na hapa tangu uzi unaanza nimekuona baada ya Yanga kuchomoa bao 3. Hii ina maanisha nini?
umeandika nini sanaHalafu watapiga fataki.
Coastal deserve to be winners.
Yanga kinachowasaidia ni hamasa ya wachezaji ( kwa kulipwa vizuri) na pia mfadhili wao anatumia pesa sana kupata mafanikio.
Vinginevyo anayejua mpira hassa Yanga hamna timu pale. Wana pesa.
Mimi naongelea Yanga! Wewe unaongelea simba!Dah! We mgeni hapa bongo? Kwahiyo tangu uwepo hujawahi kuona timu inanyanyua makwapa makombe yote hapa Tz ?
Mbona simba kanyanyua makombe yote miaka karibia 3 mfululizo ?
Sopu sio mtu mzuriMimi naongelea Yanga! Wewe unaongelea simba!
Malizia Katika historia ya utoIla wananchi msimu huu wamenyanyua makwapa na kuvaa medali aisee! Hii haijawahi kutokea katika historia.
Uljiwahi mapema tu...acha kujishtukiaCoastal wanakamilisha ratiba tu ila matokeo wote tunayajua
🤣😅🤣🤣😅🤣🤣🤣Yani we nimekuona kuwa ni shabiki wa Yanga kwenye zile mechi za mwisho mwisho Yanga alizotangaza ubingwa
Na hapa tangu uzi unaanza nimekuona baada ya Yanga kuchomoa bao 3. Hii inamaanisha nini?