Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

Halafu watapiga fataki.
Coastal deserve to be winners.
Yanga kinachowasaidia ni hamasa ya wachezaji ( kwa kulipwa vizuri) na pia mfadhili wao anatumia pesa sana kupata mafanikio.
Vinginevyo anayejua mpira hassa Yanga hamna timu pale. Wana pesa.
Mwanzoni si mlisema pesa hazichezi?
 
Halafu watapiga fataki.
Coastal deserve to be winners.
Yanga kinachowasaidia ni hamasa ya wachezaji ( kwa kulipwa vizuri) na pia mfadhili wao anatumia pesa sana kupata mafanikio.
Vinginevyo anayejua mpira hassa Yanga hamna timu pale. Wana pesa.
umeandika nini sana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Coastal wanakamilisha ratiba tu ila matokeo wote tunayajua
Uljiwahi mapema tu...acha kujishtukia

Ila coastal performance walioinyesha leo ni ya kimataifaa...

Super super performance....
 
Yani we nimekuona kuwa ni shabiki wa Yanga kwenye zile mechi za mwisho mwisho Yanga alizotangaza ubingwa

Na hapa tangu uzi unaanza nimekuona baada ya Yanga kuchomoa bao 3. Hii inamaanisha nini?
🤣😅🤣🤣😅🤣🤣🤣

Kwahiyo mkuu unamuamulia mtu maisha!??
 
Back
Top Bottom