Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Umeamua Kutusuta...??
Tatizo mmezidi
Umeamua Kutusuta...??
Hongera mkuu ukifika huku USA utaniambia tuonane maeneo ya Florida
Me natokea ngarenaro
hapa kuna matangazo 2.
1. mtandao wa kupata hao wanawake
2. namna ya kutumia ChatGPT kutuma msg kwenye mitandao
Sijasoma yote ila hongera unaenda na wake zako wote ?🤣
Chai
Sawa. Vip unaenda na wake zako?Nikirudi exposure itakuwa imejitosheleza
Akikujibu ni tag mkuu😀Sawa. Vip unaenda na wake zako?
Okowela!🙌🏾Le salher Lekema Le sabi!!!!
Yaani humu ndani kila mtu anataka kutoka kwenye umasikini kwa njia yoyote ile hata ndotoni
Ni kweli hatuko level mojaNyie endeleeni. Huko nimeshatoka. Mlitamani tuwe level moja lakini ya Mungu Mengi. October 2pm Na bado
Ni kweli hatuko level moja
Kumbuka unaenda kuwakilisha taifa mbele ya mtoto salher usituangushe sisi wala makande ya kipare.
Salimia watu.Ingekuwa na connection ningeomba fungu serikalini walahi