raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
NEED 4 SPEED MOST WANTED : BUSTED
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEED 4 SPEED MOST WANTED : BUSTED
Kamata funga manyani woteKama leo nliona ,ada ya mdau iliibuliwa ya hzi gari ni ya 2022 ama 2023 sijakosea askari wa usalama na latra wanahusika wa kuhongwa na kuacha haya madudu yakolee.
Upumbavu wa tako jeusiNa tutazika sana
Endeleeni tu kusema mungu aliwapenda zaidi
Ova
Una bahati sana hujawahi kupanda Matema Beach, Safina, Zainabs, Tawaqal, Sayuni, Mwanahapa a.k.a M Sleeping Coach, ilikuwa ni balaaHilo bus la Sauli nililipanda mara ya mwisho ilikuwa ni 2020 December naelekea Mbeya kwenye msiba wa mzee wake na rafiki yangu, ilikuwa ile Benz DPC dereva dogo mmoja anaitwa Nabii Tito. Niseme tu ule mwendo na hizo overtaking jamaa alikuwa anafanya ilikuwa ni hatari sana niliapa sitakaa nipande tena hilo bus, na sikupanda ten mpka leo hii. Bora mzee Ngalo wa ABC ameingiza bus hiyo njia aokoe jahazi huko, hao New Force nao hata bure sipandi, kila leo ajali
Haki ya kuishi inadhulumiwa kwa bei poa, kwa fahari ya macho tùDuuu Pesa Adui wa Haki ,
Chama Cha MazezetaNa hapo ndo ujiulize. Toka mida ajali imetokea, hakuna breakdown! Hakuna hata grader au dozer ya kutengeneza njia ya dhalula! Kutoka Kibaha,saa moja na nusu,tupo njia ya Morogoro, hakuna gari iliyopita kutoka njia hiyo au inayopita kwenda.
Jiulize jam hiyo imekaaje! Na ajali imetokea asubuhi tu!!!!
Ajali za New Force zinafunikwa funikwa sanaGhafla nimeona taarifa now.kumbe katika Hilo sauli la Leo ndo analofanyia kazi rafiki yangu wa tangu shule..imagine mtu anapiga kazi na afya njema Kisha kesho inatangazwa kafa..ajali hizi
Hiyo ajali watu kibao wamekufa ila wanaficha
InasikitishaDTF (mjeshi) kaumaliza mwendo
Ligi Rasmi isiyo rasmiAti Ligi ya Mbio za Mabus Tanzania😅
Bila kumsahau mnyama KISWELE na NGORIKA. AngejutaUna bahati sana hujawahi kupanda Matema Beach, Safina, Zainabs, Tawaqal, Sayuni, Mwanahapa a.k.a M Sleeping Coach, ilikuwa ni balaa
LATRA WAMEWEZA KUPANGA RATIBA HADI USIKU,UKIONA MTU ANASHABIKIA HAYO MABASI UJUE NI KIMEO,KWANINI UPANDE BASI ZINAKIMBIA HOVYO NAMNA HIYOKùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli.
Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori la mafuta, watu wamekufa, wengine kujeruhiwa. Lakini kesho makosa haya haya yatajirudia na watendaji wa serikali wenye wajibu wa kuwadhibiti wasafirishaji hawa wataendelea kushabikia fainali hiyo.
Polisi wa usalama barabarani na LATRA wanahusika kwa kiasi kikubwa kutokana na udhalimu huu unaoathiri maisha ya abiria wasio na hatia
Ally's imekula damu nyingi mno Nchi hiiAlly's
Shida nyingine ni Barbara zetu ni Karne ya 14 inakuwaje na single lane highwayUna bahati sana hujawahi kupanda Matema Beach, Safina, Zainabs, Tawaqal, Sayuni, Mwanahapa a.k.a M Sleeping Coach, ilikuwa ni balaa