dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hakujuwa mkuuuu acha tu anayoyapitia sugu niliwai pitiaaSugu nae alikosa mwanamke hadi akazae na huyo betri low, mengine wanaume tunajitakia
Ubaya wa Sugu ni upi?Humu wanamlalamikia tu Faiza hawaoni ubaya wa Sugu
Kwanin haonani na mtoto?
Naomba nisamee ndugu yangu.Sasa dada sisi wa Ushirombo na kunguni zetu tumekukosea nini? [emoji2][emoji2] just joke
Sio anataka kula kutumia mtoto bali anataka kuliwa kutumia mtotoUnamtetea bure lakini jamii inaujua ukweli.
Mke wa Sugu anampenda sana huyo mtoto..akichukuliwa kwenda hata likizo mama yake akiona wanaambatana analiamsha tena.
Fuatilia vizuri ili uhukumu kwa haki.
Huyu mama anataka kula kupitia mgogi wa mtoto
Wanaume wanateteana humu umesahau[emoji16]Humu wanamlalamikia tu Faiza hawaoni ubaya wa Sugu
Jamani ukweli si usemwe tu?Wanaume wanateteana humu umesahau[emoji16]
Wanaume wanateteana humu umesahau[emoji16]
Sugu nae ana makosa yake, nachosemea mimi mambo ya kutukana mitandaoni Faiza anakosea sana sababu kama mwanaume kakaza hivyo hayo matusi yake hayatokaa yakambadilisha sana sana ni mwiba kwa mtoto wao. Nataman hiki kitu wangekimaliza wenyewe huko ila kuvuana nguo kwa mtandao sio poa kabisa.Kwanin haonani na mtoto?
Hamna hii ni ya juzi bestSijui kuna nini watu wamefukua makaburi
Afadhali umeuliza hilo swali ww mwanamke mwenzao
[emoji23] Hapa Sugu aliyakanyagaWaliposema mitandao ni janga na kumbukumbu hazifutiki mwanamitindo wetu Faiza ktk ubora wake
View attachment 2447599View attachment 2447600View attachment 2447601
Sawa bestHamna hii ni ya juzi best
Hii takataka bado kuna wapumbavu wanaiona ina akili timamu, kinyago hakijielewi kabisa hiki.Waliposema mitandao ni janga na kumbukumbu hazifutiki mwanamitindo wetu Faiza ktk ubora wake
View attachment 2447599View attachment 2447600View attachment 2447601
Ukweli wanaujua wao watatu Sasha, Faiza na Sugu..Faiza hataki pesa za Sugu kwa maelezo yake bali mtoto wake Sacha anamsumbua kutaka kuzungumza na baba yake na kilio juu Sugu kagoma kuzungumza na mtoto.
Ujumbe umebeba maumivu makubwa ya Faiza kwa kumkosa/kutoswa na sugu. Anatumia uzao kama mlango lakini bado anampenda jamaaView attachment 2444126
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.