madam boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 701
- 742
Yake na sugu yanamshinda.
Atayaweza ya diamond na mademu zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atayaweza ya diamond na mademu zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui ada ya mtoto alishamaliza kulipa. anainaga wivu mond anavyopenda na kuhudumia familia yake....hebu amuache mond aishi na familia yake...Faiza hana moral authority huyu kutoa ushauri, ...apambane na majanga yake
Kupungukiwa akili ya kuzaliwa shida sana. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Anataka kutingisha hali za watu huyu, simpendiiiii kama nnsijui ada ya mtoto alishamaliza kulipa. anainaga wivu mond anavyopenda na kuhudumia familia yake....hebu amuache mond aishi na familia yake...
Kupungukiwa akili ya kuzaliwa shida sana. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
HIZI KUMBE FAIZA KATULIA.ITAKUWA SHIDA KUPATA MKE BONGO.KWANI FAIZA NA HAMISA KUHUSU KUCHUNA MABUZI NA KUCHANGAMKIA FURSA KUNA WA KUMCHEKA MWENZAKE.MUULIZENI SUGU KIDOGO AMPELE MTOTO GETI LA BUNGENI AKIDAI HELA ZA MATUMIZI.WATOTO KWAO NI VITEGA UCHUMI
Sure my dearHa ha ha, akili ya yule dada anaijua peke yake.
Ah! Hapo ndugu umekosea mzee! Chibu kwa totoz hafanyagi makosa!!! Hivi hata yule Zari mtu anaweza kuthubutu kusema mwanamke gani yule?! Wote wanaishia kum-discredit Zari kwa kutumia kigezo cha umri wakati, she looks young than most of U-30!diamond hachagui!!
vizuri vinaonyeshwa!!Ah! Hapo ndugu umekosea mzee! Chibu kwa totoz hafanyagi makosa!!! Hivi hata yule Zari mtu anaweza kuthubutu kusema mwanamke gani yule?! Wote wanaishia kum-discredit Zari kwa kutumia kigezo cha umri wakati, she looks young than most of U-30!