Faiza Ally ampa ushauri Diamond aachane na vibibi ale bata na dogodogo kwani bado kijana

Faiza Ally ampa ushauri Diamond aachane na vibibi ale bata na dogodogo kwani bado kijana

images
View attachment 602604 View attachment 602604 View attachment 602604 View attachment 602604 View attachment 602604
Kupungukiwa akili ya kuzaliwa shida sana. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
sijui ada ya mtoto alishamaliza kulipa. anainaga wivu mond anavyopenda na kuhudumia familia yake....hebu amuache mond aishi na familia yake...
Anataka kutingisha hali za watu huyu, simpendiiiii kama nn
 
HIZI KUMBE FAIZA KATULIA.ITAKUWA SHIDA KUPATA MKE BONGO.KWANI FAIZA NA HAMISA KUHUSU KUCHUNA MABUZI NA KUCHANGAMKIA FURSA KUNA WA KUMCHEKA MWENZAKE.MUULIZENI SUGU KIDOGO AMPELE MTOTO GETI LA BUNGENI AKIDAI HELA ZA MATUMIZI.WATOTO KWAO NI VITEGA UCHUMI
 
Best part kwenye huo ushauri, ni kuzaa na kutulia. Ngoja niongeze lager nyingine
 
diamond hachagui!!
Ah! Hapo ndugu umekosea mzee! Chibu kwa totoz hafanyagi makosa!!! Hivi hata yule Zari mtu anaweza kuthubutu kusema mwanamke gani yule?! Wote wanaishia kum-discredit Zari kwa kutumia kigezo cha umri wakati, she looks young than most of U-30!
 
Faiza now katulia?! A ma kweli kua uyaone, kazurura weeeee, now katulia?! Sijui huko alikokuwa anazurura alifanya yepi maana haya ayafanyayo kwa utulivu ni shida.
 
Ah! Hapo ndugu umekosea mzee! Chibu kwa totoz hafanyagi makosa!!! Hivi hata yule Zari mtu anaweza kuthubutu kusema mwanamke gani yule?! Wote wanaishia kum-discredit Zari kwa kutumia kigezo cha umri wakati, she looks young than most of U-30!
vizuri vinaonyeshwa!!
 
Kijana mdogo miaka 28??. Angekua anaishi bush saiv anamkaribia majuto kwa uzee.
Ujana Maji ya moto fainali uzeeni. Saiv wanamsifia lakini baadae akianza kuumwa Magonjwa ya mara kwa mara atabaki na mama yake.
 
Back
Top Bottom