Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Niwekee inbox
 
Jibu lako toka kwa mhusika maalum
 
Mwenyewe kakubali kupigwa hiyo picha sasa wewe inakuuma nn?
Watu wengine sijui hamna ubongo.
Mbona hamfikirii?
 
Huyo ni mwanamke anayejitambua kweli?
Sidhani kama anajitambua
 
Kwani soudy ndo alienda kumpiga picha akiwa labour room?picha kapiga mwenyewe kwa utashi wake na kaisambaza mwenyewe na hajaonyesha kujutia wewe watokwa na povu,halafu ilivyo ajabu sasa yeye mwenyewe anawashangaa kwa kumshangaa.
 
Kibumbu kimenivutia [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soudy na faiza wote wana akili sawa.
Faza mwenyewe ndo kwanza analalamka kuhusu kufutwa kwa hio photo IG...
 
Unajua mi demu nikishapiga nae story dakika 10 tu najua huyu kichwani zipo ngapi, sasa nashangaa Sugu alikuwa anakatika tu mpaka mimba yaani alikuwa ajagundua tu kama huyu chizi?
Usimshangae Sugu mkuu, kuna msemo unasema Ndege wafananao ....
 
Unajua mi demu nikishapiga nae story dakika 10 tu najua huyu kichwani zipo ngapi, sasa nashangaa Sugu alikuwa anakatika tu mpaka mimba yaani alikuwa ajagundua tu kama huyu chizi?
Ushasema sugu.mademu wa club/maskani hao mixer magheto ya ndumu
 
Nani kakosa maadili kati ya aliepiga,pigwa na kuposti...ukinipa jibu tutaendelea
 
Acheni upotoshaji soud hajaenda hospital kupiga hiyo picha faiza na bangi zake ndo kaipost wa kwanza kwenye mitandao hata snura alipomsema kwa kitendo hicho kamtolea povu
 
mwenyewe ndo naisubiri kwa hamu hapa mkuu...nataka nishuhudie alivokata gogo wakati wa kupush...maana kama anavosema kupush si kazi ndogo.

Acha zako wewe, ni kwamba nawe unasapoti huu ujinga!!!

Binadamu sasa tumekua kama wanyama duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…