Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Tatizo siku hizi Milembe haifanyi kazi zake sawa sawa. Zamani huyu anakwenda kuishi huko kuponya uchizi mpaka apone ugonjwa wa akili
 
Laana ya limwanamke kama hili ni mbaya dawa ni kulsht
 
kuna safari ndefu sana hapo kwenda chini mpaka ukikute kibumbu au mwenzetu hukijui
 
Hivi wajuzi wa mambo, nimekua nikiona sana nchi za wenzetu mwanamke anapokuwa leba kujifungua basi na mumewe au mwanaume wake uwepo pale kumpa mpa moyo na vitu kama ivyo,

Sasa naomba kujua hapa kwa tz hii kitu ipo au sheria kama hizo zipo zinakataza kuingia leba..

Nilikuwa najifikiria na mimi wangu siku zikiwadia niwepo karibu yake kushuhudia tukio zima na kumpa moyo ...ila si kwa matusi ya wakunga wa kibongo bongo [emoji4][emoji4]
 
Povu unajitolea mwenyewe huwezi andika kuwa Faiza Ni mke wa sugu kitu ambacho unakifahamu si kweli hivyo kama hufahamu kitu kabla hujapost unatakiwa ujirishishe kwanza sio unaropoka tu

Kuna jambo unaweza jiridhisha kabisa Sio kweli Mbona hapa hata uzi mmoja usingekuwepo. Msiwe vinyonga. Leo hili kesho lile. Hapa Mahali ni Pa kupotezea muda. Ukiona unapaniki sana jua una Frustrations zingine. Na kwa afy yako Heri utulie.
 
Hatishi kwakuwa hata chura hana vipaja kama vya kanga aendelee na uchizi wake mpumbavu huyo
 
Labda kuangali porn nilipokua teeneger kume ni disturb, lakini hiyo ni picha ya kawaida kabisa. Vitabu vya sayansi vya shule za msingi vina michoro/picha za uchi kabisa, ukiangalia hadi unashtuka
Mi hata sijaona uchi
 
Hivi kwa akili ya kawaida hii ni picha ya kujipiga/selfie? Atafutwe mkunga aliyempiga mchezo uishe.
Labda kama ana mikono mitatu.
Sidhani kama aliyepiga picha ni mkunga, inawezekana ni baba mtoto kama alikuwepo au ndugu yake yoyote alieingia nae labour
 
Nenda kambi yoyote ya jeshi uwe unajipiga vi-selfie kila kona, halafu useme picha najipiga kwa idhini yangu.

Kila mahali na utaratibu wake, na zaidi si maadili mama mtumzima kujipiga picha unazalishwa.
Au ni sifa nzuri?
Labda madaktari watuambie kuwa hairuhusiwi kupiga picha labour. Kama hakuna hiyo sheria basi faiza hana kosa, acha atuonyeshe kwani kaamua mwenyewe hakulazimishwa na mtu.
 
Watashtakiwa wore....
Madaktari watawajibishwa kwa kukiuka maadili ya kazi yao....sio kila anachotaka mgonjwa lazima umfanyie.....!!!

Faiza atashtakiwa kwa cyber crime kusambaza picha za utupu.
Ni kweli wamekiuka?
 
Akashtakiwe kwa kosa lipi? Hebu tudadavue na wanasheria watusaidie..
 
Mwanamke yupi aliyedhalilishwa mkuu?
 
Ndugu anaingia mkuu. Mume au ndugu mmoja ni ruksa kabisa. Huko kwenye hospitali zetu za kata ndo hakuna uwezekano huo kutokana na miundo mbinu ya vyumba vyenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…