Faiza Ally aweka wazi mahusiano yake na Gabo Zigamba

Faiza Ally aweka wazi mahusiano yake na Gabo Zigamba

Umenichanganya mtoa mada. Nilidhani unamuongelea Faiza Foxy wa jf nifurahi. Kumbe unaongelea kitchetche!
 
Kama ni kweli jamaa atakuwa na roho ngumu kuliko isis
 
Huyo atakuwa kapost kuzingua watu tu sidhani kama kweli.
 
Sio kila anayeshangaa hajui, kuna wanaoshangaa sababu ya shanga. Kuna wengine kama wewe wanainua mapanga ili waone matanga. Wakikosa wali huanzisha shari.
We noma kwa Misemo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Back
Top Bottom