Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana wake labda awaache tuGabo si ana mke?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna wanaume wanapenda sana kubeba misalaba. Mwenzio ananyoosha mikono kuachilia, wewe unanyakua. Hatari sana.
Yani wewe khaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sio kila anayeshangaa hajui, kuna wanaoshangaa sababu ya shanga. Kuna wengine kama wewe wanainua mapanga ili waone matanga. Wakikosa wali huanzisha shari.
Waume za watu watamu afu wasiri sana.Gabo si ana mke?
ni kama ka commit suicedGabo kaamua kuchukua faili la mirembe
Siku akimuudhi tu tutajua kama ana kibamia au ana rungu la kipepeni kama ka commit suiced
Hata kama ana mke hawa waigizaji wana njia nyingi za kujitetea,hapo anaweza kusema walikuwa wanaigiza na akakubalika,kasheshe iko kwa sie tusiokuwa waigizaji sijui utajitetea vipi...Gabo si ana mke?