meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,192
Huyu dada Faiza muda mrefu amekua aki hangaika sana toka Sugu amemuacha. Ni kama hajakubali matokeo ameshawahi fanya vituko vingi ila kilichofumbua watu akaonekana ni mental case ni pale alipotunza nguo ya ndani iliyochakaa kisa alikua nayo toka akiwa kwenye mahusiano na Sugu.
Battle imehamia kwa Happy ambae ameolewa rasmi na Sugu. Issue kubwa ni hataki picha ya mtoto wake (aliezaa na Sugu) ipostiwe na Happy. Japo kwa upande mwingine anaweza kua na hoja ya msingi kwasababu Happy hana kawaida ya kumpost Sasha sio kwenye birthday wala matukio yoyote yale.
Wakati hata Sasha akienda Mbeya kwa baba ake Happy hajawahi kuonyesha furaha wala kumpost . Faiza anachohoji iweje leo Happy apige picha pamoja na raisi akijibaraguza kua Sasha ni mwanae? Kuna mengi sana nyuma ya hii triangle ya Sugu, Faiza na Happy na mtoto Sasha.
Nafikiri pia ni wakati sasa Faiza apewe msaada , maana ni dhahiri ana mental issues. Mambo anayofanya sio ya kawaida anakoelekea anaweza kumdhuru huyu mtoto (Sasha) as a way to get back at Sugu na Happy.