Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Kampuni za usafirishaji zilimfelishaga Sana akajikuta anaingia loss kubwa mnoo,mpk akaunti yake ikafuta Ile ya followers 2m nadhani wananchi walimshupaliaga Sana!!wakamshtakia,ndo anainuka pole pole kipindi kile Yuko busy alipunguza hizi drama
Kipindi cha corona
 
Ila on the other side hatak mwanae hapostiwe ..uyo dada happy angeachanaga nae tyuu mana Faiza ypo clear mbna hatak amposti mwanae
Angekataa tu bila kumkaririsha binti yake na kumrecord , bila kutukana mtoto wa mwaka mmoja (Freeman) angepungua nini?
Halafu mbona wanau hasama tangu siku nyingi kwa nini hataki uhasama huo uishe anafaidika nini na ugomvi...
Mi ningedhani kupostiwa kwa bintiye kungekuwa Kama chachu ya maridhiano...
Anavyomtukana mtoto wa sugu ajue anazidi kufanya uhusiano wa sugu na mwanae kuwa mgumu...
Kwa nini anashindwa ku behave kwa manufaa ya binti yake

Hivi nikuulize faiza angekuwa happily married angekuwa anajali vitu vidogo vidogo Kama hivyo? Eti kupostiwa tu ndio awehuke hivyo!! Huyo tatizo ni moja tu haja move on...
 
Ila on the other side hatak mwanae hapostiwe ..uyo dada happy angeachanaga nae tyuu mana Faiza ypo clear mbna hatak amposti mwanae
Hata asipompost, ataleta lingine tu.. Faiza is dramatic person by nature.. We kwa akili yako hiyo mke mwenzako akimpost mtoto wako yatakutoka hayo maneno?

Sugu ameyaona mengi sana anafaa kuwa mshauri wa wababa wenye dramatic baby mamas.
 
Huyu dada Faiza muda mrefu amekua aki hangaika sana toka Sugu amemuacha. Ni kama hajakubali matokeo ameshawahi fanya vituko vingi ila kilichofumbua watu akaonekana ni mental case ni pale alipotunza nguo ya ndani iliyochakaa kisa alikua nayo toka akiwa kwenye mahusiano na Sugu.
Battle imehamia kwa Happy ambae ameolewa rasmi na Sugu. Issue kubwa ni hataki picha ya mtoto wake ( aliezaa na Sugu) ipostiwe na Happy. Japo kwa upande mwingine anaweza kua na hoja ya msingi kwasababu Happy hana kawaida ya kumpost Sasha sio kwenye birthday wala matukio yoyote yale, wakati hata Sasha akienda Mbeya kwa baba ake Happy hajawahi kuonyesha furaha wala kumpost . Faiza anachohoji iweje leo Happy apige picha pamoja na raisi akijibaraguza kua Sasha ni mwanae?
Kuna mengi sana nyuma ya hii triangle ya Sugu, Faiza na Happy na mtoto Sasha.
Nafikiri pia ni wakati sasa Faiza apewe msaada , maana ni dhahiri ana mental issues. Mambo anayofanya sio ya kawaida anakoelekea anaweza kumdhuru huyu mtoto ( Sasha) as a way to get back at Sugu na Happy.....
Mwanamke lazima awe na wivu.. mwanae kaongea na Rais ulitegemea yule mwanamke akae kimya? Lazima akiwashe ili aonekana kuwa na yeye yupo na yeye ndio kamzaa sasha…

Yaani hapo hakuna kumyafuta mchawi mwanamke yoyote lazima afanye vile..

Ukitembea na mwanamke mtaani lazima atajipitisha kwa mkeo lzima atafanya juu chini ili mkeo ajue.
 
Back
Top Bottom