Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Faiza kinachompa huo uwendawazimu wote ni kuachwa na Sugu. Yeye alikuwa analeta mbwembwe akijua mwenzie atambembeleza,; kumbe mwenzie alikuwa ashajichokea akasema afadhali. Hukuona siku Ile aliandika like "watu wasigombane kidogo tu, wewe tayari unakwenda kuingilia mahusiano yao". Beef lote na Happy ni kwa sababu anahisi labda Happy asingemkubalia Sugu, labda wangerudiana. Lakini naamini kwa drama na matusi yale ya Faiza; Sugu angemkosa Happy, bas angebaki tu single kuliko kurudiana na Faiza[emoji1787][emoji1787]
Kwa huu uwendawazimu wa Faiza, hata ikitokea bahati mbaya Sugu aachane na Happy (God forbid), kuliko kumrudia Faiza I am sure mwamba Sugu ata prefer kupiga puchu tu.
 
Mwamba sijui alimfanya nn binti wa watu mpaka leo hajakubali matokeo wahuni sio watu wazuri.
 
Kabisaa yaani atajiskia vibaya Sana!
Monalisa alivyoachana na George Tyson(Marehemu)nadhani Huyu baba alianza maisha mapya na mke mwingine but we never had anything kuhusu wao!
Faiza nadhani anataka umaarufu kwa nguvu Sana!
Yaani kichaa plus plus
hata mie thimjui simjuiga huyo mke wa sugu ... anafananaje kwani huyo faiza km ni mdhuuri si aolewe tu na diamond jamaniiii??...yule jamaa hapingi demu yeyote!
 
Hivi hii Karne ya 21 bado watu mnaamini mapenzi yanakurogwa?
Yaani mtu anampenda mkewe eti karogwa!!
tunawaroga bana kwani je!!!!! nikikupenda shoga ama zako ama zangu.....mbona dawa nyingi tu tena rahisi tu!! kwa nini uteseke na mtu umempenda vuta sugua hasaaaaa!! yaani siku dawa ikiisha unalitupa hapo puuu! likome!

ukiona vepe njoo In box tuyajenge mananiliu uone!!!
 
Wanwake ndivyo walivyo, mambo yao waachie wenyewe...
 
Huyu dem alipanganga mtaani kwangu kinondoni garden
Alikuwa anatokaga nje na chupi tu
Kuna siku alitokaga tena na chupi
Wahuni walikuwa wanatoka tizi uwanja wa Garden pale kumuona
Wacha watake kumlilia,angetiw vidol
Mpk angekoma....hakurudia tena

Ova
 
Mi watu miyeyusho ndo mambo yangu mkuu.

Ile kupelekana puta, maneno ya shombo mchana kweupe jua linawaka hayon ndiyo mambo yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] njoo kwangu kivuruge nikuvuruge hadi ujinyonge...Faiza cha mtoto! Haahaaa
 
Faiza Kila siku anatafutaga tu maneno ili atoe uchungu wake wa kuachwa na Sugu; shida zote hizo chanzo ni kwamba hajakubaliana kuwa Sugu kashamove on. Remember the other day Happy anatoa ushuhuda jinsi alivyompata mtoto wake kimiujiza; yeye kashamjibu sijui Sasha ni mtoto wa fyoko fyoko sio wa muujiza, mara wa kwake ndiyo mtoto wa dhahabu. Hao watoto wa Happy anawasema vibaya kila siku, bado matusi kwa Sugu na mkewe. Hata Mimi ningekuwa Happy ningetafuta tu cha kumkomeshea sina moyo wa kuvumilia uchizi wake kila siku; alijua tu akimpost Sasha kitamuuma. Faiza anajikutaga yeye ndiyo fyatu; sasa alie apasuke huko alipo ila mtoto kashapostiwa. Tena Bora hata Happy amempost mtoto kwenye kitu +ve.

Uolewe na mwanaume mwenye baby mama kama Faiza, afu mume awe hana msimamo; ndoa utaikimbia huku unaipenda. Sugu endelea kukaza baba, alikuacha mwenyewe kwa matusi na kejeli, sasa hivi anahara bata. Happy mbaya ila ndiyo kaolewa; naona Faiza akiona ile Happiness Mbilinyi anatamani kufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu sio picha...kumove on ndo shida..

Baba Sasha this baba Sasha that[emoji16][emoji16]
 
Afu faiza Hana muamana hata akiona wamekaa kimya tu anapagawa na kuanza kuwatusi pia,hii ya mtoto imekuja tu but honestly hajagoma kuachika ,Faiza ni mpuuzi Mmoja hivi asiejielewa asilani!
Mi kanikwaza kushirikisha mtoto
" kindly mom Happy can u please delete my photo coz my mom practical mad at its core, on my birthday u didn't send my photo, when i came to mbeya u never send my photo, why now, real? Don't do that" halafu kakasmile[emoji16][emoji16][emoji16]

Jana nimecheka kama mwehuu, ila Faiza anajua kunipa raha[emoji1732][emoji1732][emoji1787][emoji16]
 
" kindly mom Happy can u please delete my photo coz my mom practical mad at its core, on my birthday u didn't send my photo, when i came to mbeya u never send my photo, why now, real? Don't do that" halafu kakasmile[emoji16][emoji16][emoji16]

Jana nimecheka kama mwehuu, ila Faiza anajua kunipa raha[emoji1732][emoji1732][emoji1787][emoji16]
Mambo ya kizungu hayo

Ova
 
Mambo ya kizungu hayo

Ova
Ila lifaiza linajua kutetemesha mitandao asee[emoji2][emoji2][emoji28]

Halafu kuna kitu nimenotice, huyu happy anamtumia Faiza kwenye biashara zake za chakula....Leo kajaza maclip kibao jinsi msosi wake mtamu, mpeni order mmh...

Faiza angempotezea tu sema ndo hivo yy anamgombania baba Sasha wake[emoji28][emoji28]
 
Tatizo la faiza kuiga uzungu kupitiliza na kutaka wanaomzunguka wafanye anayotaka yeye. Hadi mama ake sugu alimchoka.

Bora sugu kampata happy atulizane hapo faiza hafai,mwanamke gani anapost picha akijifungua eti utandawazi khaa uchizi tu

Sijaona kosa la Happy kumpost sasha ukute baba mtu alitaka iwe hivyo nae akapost japo alijua kutakua na mvua za matusi ila kama ameshazoea hizo drama. Ili kumtia uchizi zaidi namuombea happy apate mtoto wa kike copiraiti na sugu hapo ndo atakata ngebe zootee.

Wanawake mkipendwa msizidishe dharau,kujiamini na kuwatawala wanaume zenu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] njoo kwangu kivuruge nikuvuruge hadi ujinyonge...Faiza cha mtoto! Haahaaa
Kwanza niambie unakaa mtaa gani nione kama tupo level moja?😅
 
Back
Top Bottom