Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Ila mwanzo hakuwaga hivyo ndio maana Sugu alimwaga wazungu ndaniπŸ˜€
 
AKITULIZE KABISA HUYU, WANAKUWAGA NA NYODO SANA HAWA WANAWAKE BAADAE AKIRUDIWA NA AKILI ANAANZA VISA
Wanajifanyaga wajuaji sana,kikinuka wanaanza kujutia nafasi walizochezea!...
 
Balaa kabisa!Ubuyu ukiletwa Sasa wee!![emoji16][emoji16][emoji16]warumi jeshi la mtu Mmoja(RIP)naangaliaga picha za mwisho siku ya msiba naumiaga Sana!
Mungu amuweke pahala pema
Nifah sijui yuwapi siku hizi
Warumi alikuwa anatuletea Umbea na matusi juu[emoji2]ila tupo tu...
Nifer yupo.. nadhani siku hizi amekuwa msomaji zaidi..

Unakumbukaga ile battle yake na Mange humu[emoji23][emoji23]
Nifer akamwambia Mange hamkuti kwa lolote, iwe mbinguni,Duniani hadi Kuzimu[emoji2]
Mange akaona ameingia sehemu siyo... hadi leo Last seen yake ni ile siku.. Nifer alijua kumshambulia jamani[emoji23]
 
Na ya kwenda kulala msibani kwa marehemu Kuambiana ili tu kutukusanyia ubuyu. Apumzike kwa amani binamu yetu
Hii naikumbuka.. Ila Warumi jamani[emoji2]
Na nadhani hadi kwenda kulala kuna kuna vitu member mmoja hivi alikuwa anambishia...wakajibuzana wee...

Then; naona akajisemea tu hawanijui na lile tusi lake...
Akaenda kulala msibani[emoji2]si akaja sasa: akaanza na matusi.. kwamba Umbea anautafuta kwa shida na gharama kubwa[emoji2]hapo kila neno moja anamalizia na tusi...
Warumi jamani.... Bado JF haijapata m'badala wake...
 
Imagine.....
siku tatu hajalala anabweka tu ...halafu mwenzie yupo kimya ndio Kwanza anapost wali na kisamvu...
Faiza nyamitusi kakutana na kisiki happy
 
Na ya kwenda kulala msibani kwa marehemu Kuambiana ili tu kutukusanyia ubuyu. Apumzike kwa amani binamu yetu
Apumzike kwa Amani kwa hakika.
Siku nasoma hapa habari ya kifo chake, nililia siku 2 au 3 kama sikosei.
Hapo simfahamu sura wala jina.
Nafkiri atabaki kuwa mtu pekee nisiyemfahamu jina wala sura ambaye kifo chake kiliniuma kwa kiwango sijui kukielezea.
Warumi tulikuwa tunapiga ubuyu jamani, anaflow zakewalahi thread inakuwa so addictive.
Wambea pale tuliumia! Ah tuliwezwa!
Haki vile kile kifo kilijua kutusambaratisha mioyo!
 

Utakua umemjulia Faiza kweli hili sakata

Mbona ni juzi tu katoka kumtukana Happy

Baada ya Happy kupost mambo ya kumsifia mumewe

Yule anatafuta sababu tu.
 
Hayupo SAwa kuna mwaka nilimshuhudia airport akimporomoshea mtu matusi mazito ya nguo kwa sauti ya juu hata hatua 20 unayasikia tena airport mbele za watu.
Mtu yeyeto asiyeuheshimu mwili wake hawezi kuwa na heshima na mtu yeyeto.
Saikolojia ukiona mtu auheshimu mwili wake huyo ni hatari ashatoka kwenye ubinanadamu kaa mbali
 
Daah I was shattered...
Mungu ampe pumziko la milele Mfalme wetu wa umbea. He is Irreplaceable
 
Sasa walikuwa na battle yao Dina &Warumi Vs Matola. Matola alikuwa anawapelekesha hadi Warumi anaishia kujiquote na kujichamba mwenyewe. Alisema Matola ndiye mtu aliyemuhenyesha sana JF.

Hivi uliwahi kukuta bina akimumunya ubuyu kwa kinge? He will forever be missed.
]
 
Alivyopata kale kajamaa kengine daily kukapisha, ooh sasa nimepata nilichokuwa natafuta duniani,....ooh my hb, alivyozalishwa sasa kelele zikawa mingi kweli nikajua hizi ni show off za kumuoneshea sugu! Mara paaap kimia, i aonekana kale kajamaa nako kalitimua mbio baada ya kukojoa na kupanda mbegu
 
Alikuwa anasema baba lini handsome alitaka mbegu yake tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…