moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 904
- 937
Akina diina malioozNdege wa rangi moja huruka pamoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina diina malioozNdege wa rangi moja huruka pamoja!
Ila mwanzo hakuwaga hivyo ndio maana Sugu alimwaga wazungu ndani😀Ndio maana wanasema wanaume wanapokuwa wanatafuta wanawake wawe wanawafikiria na watoto wao kwasababu ya mambo kama haya.
Sasa hapo Sugu atakwenda na hii nuksi maisha yake yote. Huyu mtoto na watoto wake wataharibiwa akili na huyu dada maana sio mama ni takataka.
Na Umbea ulivyo na kazi sasa[emoji23][emoji23]Acha tu. Enzi zile unatamaninushinde tu unascroll tu kwenye nyuzi; usipitwe na comment hata moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si umesikia mke wenu anasifiwa.
kenge mtoni nyinyi.
Wivu tu, na kwanza mlete ada kabla sijaenda live
Wanajifanyaga wajuaji sana,kikinuka wanaanza kujutia nafasi walizochezea!...AKITULIZE KABISA HUYU, WANAKUWAGA NA NYODO SANA HAWA WANAWAKE BAADAE AKIRUDIWA NA AKILI ANAANZA VISA
Ngoja kwanza,Wewe ndio huyo kwenye avatar hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Warumi alikuwa anatuletea Umbea na matusi juu[emoji2]ila tupo tu...Balaa kabisa!Ubuyu ukiletwa Sasa wee!![emoji16][emoji16][emoji16]warumi jeshi la mtu Mmoja(RIP)naangaliaga picha za mwisho siku ya msiba naumiaga Sana!
Mungu amuweke pahala pema
Nifah sijui yuwapi siku hizi
Hii naikumbuka.. Ila Warumi jamani[emoji2]Na ya kwenda kulala msibani kwa marehemu Kuambiana ili tu kutukusanyia ubuyu. Apumzike kwa amani binamu yetu
Imagine.....Kwanza aliitwa mgumba!
Akazaa.
Mara anaf..rwa
Watu kimya, oh fresh tu
baadae Wanae wakaitwa Wa miujiza, watu fresh tu
Baadae wanae wabaya sijui wana sura za kizamani, watu fresh tu.
oh ana miguu mibaya sijui makanyagio, watu fresh tuuu.
oh mwanangu ntazaaa na babake mtoto mwingine, watu kimya!
Leo Happy kaweka picha tu.
Tena haina tusi, haina chambo, haina lolote.
Just neno ''my daughter.....''
Faiza anataka kuzaa mbuyu. ahahahahhahahhahahhahahhahahhaha
Uliko siko….simaanishi uumbaji wa Munguuzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu
kwako anaweza akawa mbaya ila kwa sugu ni mrembo sana...
Apumzike kwa Amani kwa hakika.Na ya kwenda kulala msibani kwa marehemu Kuambiana ili tu kutukusanyia ubuyu. Apumzike kwa amani binamu yetu
Sugu asimame kama baba, aache upumbavu, anajua Faiza ni mtu asiye na brake, anatakiwa sasa aache kufanya mambo ambayo yatamfanya yule dada kichaa chake kipande, this is for sake ya mtoto wake, aangalie maisha ya kina Paula sijui yalianza hivi kwenye mitandao and end up worse ...Sugu don't fail when comes kwa watoto wako, mke wako asingepost huyo mtoto wala msingefika hapa, Taita Happy ni mke wako lakini ipo siku unaweza tengana naye na ikawa history kama ilivyo kwa huyo mwingine, lakini watoto wako forever will remain your blood..
Daah I was shattered...Apumzike kwa Amani kwa hakika.
Siku nasoma hapa habari ya kifo chake, nililia siku 2 au 3 kama sikosei.
Hapo simfahamu sura wala jina.
Nafkiri atabaki kuwa mtu pekee nisiyemfahamu jina wala sura ambaye kifo chake kiliniuma kwa kiwango sijui kukielezea.
Warumi tulikuwa tunapiga ubuyu jamani, anaflow zakewalahi thread inakuwa so addictive.
Wambea pale tuliumia! Ah tuliwezwa!
Haki vile kile kifo kilijua kutusambaratisha mioyo!
Sasa walikuwa na battle yao Dina &Warumi Vs Matola. Matola alikuwa anawapelekesha hadi Warumi anaishia kujiquote na kujichamba mwenyewe. Alisema Matola ndiye mtu aliyemuhenyesha sana JF.Hii naikumbuka.. Ila Warumi jamani[emoji2]
Na nadhani hadi kwenda kulala kuna kuna vitu member mmoja hivi alikuwa anambishia...wakajibuzana wee...
Then; naona akajisemea tu hawanijui na lile tusi lake...
Akaenda kulala msibani[emoji2]si akaja sasa: akaanza na matusi.. kwamba Umbea anautafuta kwa shida na gharama kubwa[emoji2]hapo kila neno moja anamalizia na tusi...
Warumi jamani.... Bado JF haijapata m'badala wake...
Faiza kabila gani?Tatizo kabila la faiza.
Binafsi Hilo kabila sijawahi kulielewa wanawake wake
Alikuwa anasema baba lini handsome alitaka mbegu yake tu.😂😂😂😂Alivyopata kale kajamaa kengine daily kukapisha, ooh sasa nimepata nilichokuwa natafuta duniani,....ooh my hb, alivyozalishwa sasa kelele zikawa mingi kweli nikajua hizi ni show off za kumuoneshea sugu! Mara paaap kimia, i aonekana kale kajamaa nako kalitimua mbio baada ya kukojoa na kupanda mbegu
Faiza kabila gani?