Faiza Ally na kashfa ya utapeli

sijui kwa nini hatujifunzi kwa wahindi, wao utawadhania masikini ukiwaona kumbe hawana mchezo na matumizi ya ovyo mpaka pale biashara zao zinapoimarika.

Namkumbuka yule Jetu Patel aliposhitakiwa kwa kesi ya rada (dola milioni 2), ukimuona ulidhania masikini fulani hivi kumbe jamaa ni milionea
 
Usishabikie haya mambo hayana mantiki haswa kwa waagizaji wadogo wanaofanya consolidation kwa kushare continer kuna risk kubwa watu wanafariki kwa presha kile kipande mzigo upo majini karibu siku 14 na zaidi ba kuna pesa ndefu zipo herani.

Watu washafanya consolidation mzigo ukabuma njiani huyo aliagizia watu hajui afanyaje yeye kalost ila je wenzie watamuelewa nn?

Juzi tu hapa containers hapo TICTS zilidondoka na kuleta hasara ...Hayo mambo ni risk sana ya kuagiza usishabikie kama hujui biashara.
 
Mi sijui kwann biashara ya mitandaoni sina imani nayo kabisa hasa nikiwa nafanya na mbongo
Nilishawahi kuagiza cake kwa mtu kwenye ukurasa wa insta pic inaonekana kubwa ila ilivyokuja mkononi kama kisoda 😆
aisee nimeghairi kabisa siku hizi,maana kile kituko niliagiza ilikua balaa kwanza kaboka, kitambaa klimplini sijavaa mpk leo hela waliyochukua sasa.nimeagiza amazon km sio ally express
 
Huyu kinachomponza ni kushindana na Happy basi...hapo ndo ataumia mpaka aondoke duniani
 
Narudia tena sio kila mtu ni mfanya biashara.

Biashara ni kipaji cha hali ya juu sana ndani yake kuna (financial management) ukiiweza hii wewe utaweza kufanya biashara vizuri sana.... hapo bado kukuza mtaji na bado ujapambana na kero mbalimbali za biashara na za mamlaka.

Haimaanishi ukiwa maarufu au star basi wewe unaweza pia kufanya biashara hapana.

Jitafute kwenye maisha unafit wapi zaidi then simamia hapohapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…