Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Maishaa ya show off waafrica wengi yanatuumiza kutaka kushindana tuonekane tumeyapatia maisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu kinachomponza ni kushindana na Happy basi...hapo ndo ataumia mpaka aondoke duniani
Na hawezi mpata Happy
Kwanza angejua angekaa kimya wakati mwingine ukute ndoa ya Sugu na yule dada inadumu Kwa sababu ya Faiza ukichaa wake
Maana Happy ht afanyweje hawezi Toka asilani
Ila km angetulia ukute ingekua kishanuka Sasa yeye anampa Happy attention mnoo na kujishindanisha nae
Wakati mwenziwe anamrusha roho kusudi tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kampuni zipo na zinajulikana

Lakini,eti watu wanamkimbiliaaaa faiza [emoji1] wenyewe wanakuambia Ana brand

Ova
 
Kabisa ...yaan anafanya happy azidi kumpenda sugu, ahisi labda yuko exceptional [emoji16]...kume anamiliki kiba 100
 
Kabisa ...yaan anafanya happy azidi kumpenda sugu, ahisi labda yuko exceptional [emoji16]...kume anamiliki kiba 100
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]witn hamna kitu
Kiba hundred daahhhh
Shida ya Faiza ni kibri na hapendi ushauri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wahindi noma sana kula yao sasa....utachoka, wale watu wanajua kubana bajeti to the maximum point. Nili'date na mmoja arusha, Outings nyingi anasisitiza kula chakula cha bei ya chini wakati mlipaji ni mimi.....maji chupa moja tu ziletwe glass mbili, juice sasa dooh...ila alinifunza sana yule binti.[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…