Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Sahihi kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kuna sisi hapa, wazee wa kuorder kwa wajasi wa IG.
Mie sikomi… siku nikipigwa ndio nitashtuka. Ila kwa sasa, na kuorder bidhaa kuendelee [emoji16]

My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
 
Kwa hiyo ndo utukane wateja?
 
My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
Jamani Hornet hiyo avatar Nini lakini🤣🤣🤣
 
Ushaambiwa mastaa wengi bongo ni choka ile mbaya ila wanaigiza maisha tu na ndiyo maana wengi wao wanaishia kurogana tu na kuwashusha wenzao.
 
My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
😂😂 najua we huwezi kutapeli.
Nakuja ku order 🥰

Akamsusia huyo mtu? Mtu si anaenda zake kuviuza 🤣
 
Jamani msiwalaumu,watu wote wafuate mzigo china?
Kumbuka watu wengi hawana exposure , mwingine hata hajui anaanzia wapi!
Hata hivyo mwanzo watu walimsifia alikuwa analeta mzigo vzr tu, sijui sshv kakutwa na nn, may be ndo ups n down za bness
Simaanishi watu waende china wenyewe, mbona unaagiza tu online huku unakunywa chai yako na unapigwa vumbi lako la bongo lkn wachina wanakufungia mzigo ndani ya siku kadhaa unafika.

Kama mtu anamuamini faiza kwa nn ashindwe kuamini Alibaba, platform yenye internet age kubwa hata kuzidi huyo faiza
 
My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
Kaaahh...labda gharama za kutoa zilikua kubwaa
Masikini weee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…