Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Hiyo biashara ya kuagizia watu vitu China haitakiwi kufanywa na maskini kwasababu mchina akizingua kidogo tu huwa ni janga kwa mwagizaji na mteja wake. Ikifanywa na mtu mwenye uwezo wake ni rahisi kufidia na pia mtu ambaye hana njaa ni ngumu kuingia tamaa za kifala kuzungusha kwanza hela ya mteja kwenye ishu zake binafsi. Hao kina Faiza wanachofanya ni kutumia hela za watu kuzungusha kwenye biashara zao kwanza ndo maana mizigo inachukua hadi miezi 4 haijafika. Na wengine hela hiyohiyo atataka afanye show off. Nadhani mtu kama Salaah ana wababe wengine ndo wanastahili kufanya hiyo biashara sio hawa makapuku kina Faiza na wahuni wengine.
Sahihi kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kuna sisi hapa, wazee wa kuorder kwa wajasi wa IG.
Mie sikomi… siku nikipigwa ndio nitashtuka. Ila kwa sasa, na kuorder bidhaa kuendelee [emoji16]

My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
 
Usishabikie haya mambo hayana mantiki haswa kwa waagizaji wadogo wanaofanya consolidation kwa kushare continer kuna risk kubwa watu wanafariki kwa presha kile kipande mzigo upo majini karibu siku 14 na zaidi ba kuna pesa ndefu zipo herani.

Watu washafanya consolidation mzigo ukabuma njiani huyo aliagizia watu hajui afanyaje yeye kalost ila je wenzie watamuelewa nn?

Juzi tu hapa containers hapo TICTS zilidondoka na kuleta hasara ...Hayo mambo ni risk sana ya kuagiza usishabikie kama hujui biashara.

Kwa hiyo ndo utukane wateja?
 
My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
Jamani Hornet hiyo avatar Nini lakini🤣🤣🤣
 
Hii guys
Haya mambo ya mjini Daslam socialite Faiza na asieshiwa vituko amelipuliwa na kashfa za utapeli Kwa Baadhi ya watu waliompa Pesa awaletee mzigo kutoka China
Ukimbukwe miaka kadhaa iliyopita alianza biashara ya kwenda China kunnua vitu unampa Pesa anakuagizia then mizigo ikifika unafata
Sasa baasi nadhani hapa kati mambo yaliingiliana sijuii alikumbwa na Nini maana ana madeni na mizigo ga watu mingi wanamdai tu the extent mpk anapelekwa polisi analipa
Yasemekana pia ukimdai sana anakublok paaap,na watu wengi wanalalamika hawalipi na wanadai pesa za Mizigo
Faiza mwenyewee alishakiri kua anadaiwa na alitaka kuuza nyumba alipe madeni watu wakamshauri asiuze alipe pole pole
Kero yake ni kua ukimdai unakula mitusi na blok juu na huna Cha kumfanya ,mtoto wa mjini tenaa...
Jana Naona mange Kamlipua paaap Yaani hizo testimony za watu wanaomdai mpk huruma ,Mungu amsaidiei alipe.
Na Sasa hivi kaanzisha mchezo wa kupeana ila Bado watu wataenda
Nimegundua online business bongo Bado sana wengi wafanyabiashara ni matapeli tapeli tu,na hawana mitaji ya kuovercome losses Incase ikitokea
Ndo maana faiza Leo anaonekana tapeli
Maana pesa hawana isipokua Drama tu za mitandaoni
Lingine unaagiza mzigo January unatumia December

Ila watanzania tulivyo wajinga Bado watu wataendella kuagiza pia Ili bàadae walalamike tu
Watu Sasa hivi hawaogopi Mungu wanafanya wanavojua ,yaani ht umpelelek wapi bad anaendeleza mambo yake


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ushaambiwa mastaa wengi bongo ni choka ile mbaya ila wanaigiza maisha tu na ndiyo maana wengi wao wanaishia kurogana tu na kuwashusha wenzao.
 
My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
😂😂 najua we huwezi kutapeli.
Nakuja ku order 🥰


Akamsusia huyo mtu? Mtu si anaenda zake kuviuza 🤣
 
Jamani msiwalaumu,watu wote wafuate mzigo china?
Kumbuka watu wengi hawana exposure , mwingine hata hajui anaanzia wapi!
Hata hivyo mwanzo watu walimsifia alikuwa analeta mzigo vzr tu, sijui sshv kakutwa na nn, may be ndo ups n down za bness
Simaanishi watu waende china wenyewe, mbona unaagiza tu online huku unakunywa chai yako na unapigwa vumbi lako la bongo lkn wachina wanakufungia mzigo ndani ya siku kadhaa unafika.

Kama mtu anamuamini faiza kwa nn ashindwe kuamini Alibaba, platform yenye internet age kubwa hata kuzidi huyo faiza
 
My order na Vipodozi Jamani

Nikiwatapeli basi tena [emoji1787][emoji1787]

Ila wasaniii [emoji119], Faiza aliweka mzigo kwenye container la mtu akamsusia [emoji23][emoji23] pesa ya kutoa sijui alikua hana
Kaaahh...labda gharama za kutoa zilikua kubwaa
Masikini weee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom