Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
02-Sugunafaizaa.jpg

Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.

Faiza amefunguka hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na kujivunia kuwa binti yake ni mzuri kama baba yake.
“Sugu naweza mzalia mtoto mwingine maana ana mbegu nzuri kanipatia mtoto mzuri sana lakini sio kuolewa nae maana tulishindwana awali sidhani kama tunawezana tena”, amesema Faiza.

Mwana dada huyo mwenye watoto wawili hivi sasa ameendelea kusema kuwa ataongeza mtoto mwingine endapo atapata kipato zaidi lakini kwa sasa hali yake inamruhusu watoto wake hao wawili.
 
Mapenzi bwana tuyaache kama yalivyo nadhani huyu dada toka aachwe na Sugu hajapata wa kumfikisha kama jamaa, maana kutwa kumsema mara hiki mara kile, mara amtukane, mara aombe radhi khaaaaaa
 
Na nyie wanaume mpunguze dozi mnaona sasa,mtu unakanyaga mashine mpaka miaka yote dada wa watu anaweweseka,halafu mbaya zaidi pesa ipo ndo kazidi kuchanganyikiwa aaa!!
haahhaah yani inatakiwa mkiachana uwe na legacy ambayo haitafutika kamwe hata aje kukutana na mtu nayekuzidi mkuyange. Na hapo ndipo huwa unashangaa mwanamke yupo na mumewe ila akikutana na ex- wake lazima chupi ivuliwe bila shuruti
 
View attachment 781104
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.

Faiza amefunga hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na kujivunia kuwa binti yake ni mzuri kama baba yake.
“Sugu naweza mzalia mtoto mwingine maana ana mbegu nzuri kanipatia mtoto mzuri sana lakini sio kuolewa nae maana tulishindwana awali sidhani kama tunawezana tena”, amesema Faiza.

Mwana dada huyo mwenye watoto wawili hivi sasa ameendelea kusema kuwa ataongeza mtoto mwingine endapo atapata kipato zaidi lakini kwa sasa hali yake inamruhusu watoto wake hao wawili.
SUGU MOTO CHINI!!!
 
Sometimes madhara ya kupiga peku sio magonjwa ya zinaa tu ila kuleta matatizo kwenye maisha unajikuta tu una ukaribu na mwehu mmoja kisa ni mzazi mwenzio.
Well said brother. Kuna baadhi ya wenza ni bora hata uwe na HIV utameza ARV kuliko madhila na maudhi utakayokumbana nayo bila ya tiba yeyote kwa baki ya maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom