Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kuuliza swali ni FUJO??mbona wengine wanauliza huko na hamsemi Ni fujoUnauliza kwa sifa mno namna hyo inatakiwa auloze DJ ww ambaye ni host wa show.
Sasa wewe Audience unapokonya MIC kwa host na kujipa wasifu kivuli hizo ndyo fujo zenyewe.
Mod buana kwa mkwaraNitawachukulia hatua hamna nia njema!
Sawa Mama endeleaWengine ntawajibu baadae, nilifanya kosa kidogo kumjibu zee la kuwahi Joseverest, mtanisameh.
ntawajibu[emoji735]Wengine ntawajibu baadae, nilifanya kosa kidogo kumjibu zee la kuwahi Joseverest, mtanisameh.
Hunter nimekausha wanasema naleta fujo kwa kuuliza maswali mkuuHapa inabidi tuwe wapole speed hii ya Joseverest kwa FaizaFoxy sidhani kama zitakwenda sawa.
Inabidi tusubiri.
Inaweza kufika jose ameuliza maswali 500.
FaizaFoxy kumbe ndio anaanza kuquote swali la kwanza ili atoe majibu.
Ban ileeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa inabidi tuwe wapole speed hii ya Joseverest kwa FaizaFoxy sidhani kama zitakwenda sawa.
Inabidi tusubiri.
Inaweza kufika jose ameuliza maswali 500.
FaizaFoxy kumbe ndio anaanza kuquote swali la kwanza ili atoe majibu.
Wengne wanauliza kistaarabu lakn ww mkuu unauliza kama una shindana na mtu relax mda wako utafika tu Mdogo wanguKuuliza swali ni FUJO??mbona wengine wanauliza huko na hamsemi Ni fujo
Hahahahaha hunter tuweke maswali majibu tusubiri kama vile tumewekeza tunasubiri majibu.Kuuliza swali ni FUJO??mbona wengine wanauliza huko na hamsemi Ni fujo
Shikamoo bibi.Hope nimewahi
Naona ban ileeeee inakuja[emoji23][emoji23]Mod buana kwa mkwara
Nimeuliza mambo gani yamekujenga kuwa Faiza hii Leo.
Tulia kwanza,bibi anatafuta miwani yake!Nimeuliza mambo gani yamekujenga kuwa Faiza hii Leo.
Tujuze mkuuNipo kawaida tu.
Isipokuwa nawaasa vijana wasome. Kila kinachosomeka wakisome. Kuna njia rahisi sana ya kujielimisha mwenyewe. Ataependa nitamjuza.
Tuli
Ahahahh ban kwa shemela woiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona ban ileeeee inakuja[emoji23][emoji23]
Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.
Nimezaliwa Dar Es Salaam.
Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipendakuliko zote.
ninaipenda [emoji736]
"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
Ni upi unaweza kiri kuwa ni madhaifu yako Na huwa unayadhibiti vipi yasije kukugharimu katika shughuli zako Na mahusiano Na watu wengine!Nipo kawaida tu.
Isipokuwa nawaasa vijana wasome. Kila kinachosomeka wakisome. Kuna njia rahisi sana ya kujielimisha mwenyewe. Ataependa nitamjuza.
0.Mtazamo wako vitabu vina uwezo wa kubadilisha maisha?Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.
Nimezaliwa Dar Es Salaam.
Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.
Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.