Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipendakuliko zote.

ninaipenda [emoji736]

"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
 
Nipo kawaida tu.

Isipokuwa nawaasa vijana wasome. Kila kinachosomeka wakisome. Kuna njia rahisi sana ya kujielimisha mwenyewe. Ataependa nitamjuza.
Ni upi unaweza kiri kuwa ni madhaifu yako Na huwa unayadhibiti vipi yasije kukugharimu katika shughuli zako Na mahusiano Na watu wengine!
 
Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
0.Mtazamo wako vitabu vina uwezo wa kubadilisha maisha?
1.Unasoma vitabu vingapi kwa mwaka?
2.Aina gani ya vitabu unapenda kusoma?
3.Tupe majina ya vitabu vyako kumi bora ulivyowai kusoma?
4.Kwa mtu ambaye anataka kuanza kusoma vitabu,aanze na kipi?
 
Back
Top Bottom