Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Ni upi unaweza kiri kuwa ni madhaifu yako Na huwa unayadhibiti vipi yasije kukugharimu katika shughuli zako Na mahusiano Na watu wengine!

Kutokustahamili pale mtu naona kabisa ananidanganya na anapiga porojo. Huwa sistahamili nampa ukweli. Hilo limenigharimu sana na nimejaribu kijizuwia lakini imeshindikana, nikikaa kimya dhamira huwa inanisuta.

Namuomba Allah usiku na mchana aniongezee subra.
 
Pamoja hunter.
 
Dah. Swali gumu sana.

Malengo binafsi hayana tena muda kwangu, sasa hivi malengo yangu ni kuelimisha yale machache niyajuayo. Umeiona signature yangu?
Sasa hivi natumia simu, niki log in kwa PC nitaiona.

Shukrani.
 
stahamili [emoji735]

Stahimili[emoji736]

"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
 
Binadamu tuko Na tabia tofauti tofauti tabia gani zinakupa ugumu kujichanganya Na watu !
Na kwa vipi unakaribiana nazo.
 
Kijizuwia[emoji735]

Kujizuia [emoji736]

Aniongeezee[emoji735]

Aniongezee [emoji736]

"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…