Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Ni upi unaweza kiri kuwa ni madhaifu yako Na huwa unayadhibiti vipi yasije kukugharimu katika shughuli zako Na mahusiano Na watu wengine!

Kutokustahamili pale mtu naona kabisa ananidanganya na anapiga porojo. Huwa sistahamili nampa ukweli. Hilo limenigharimu sana na nimejaribu kijizuwia lakini imeshindikana, nikikaa kimya dhamira huwa inanisuta.

Namuomba Allah usiku na mchana aniongezee subra.
 
Hunter host Muosha Rungu amemkataza msailiwa kujibu maswali ya members..Tuvute subira mpaka baaadaeee hukooo atakapomaliza yeye kumuuliza ndio sisi tuulize...kwa hiyo ukiuliza swali tegemea kujibiwa baadae sana au HILO TAYARI LIMESHAJIBIWA

Sijaona mantiki ya hoja yake hapa kwa maana inapendeza ajibu papo kwa papo na ndio raha ya interview..

Hunter mimi sina mengi, nikisema hapa baadhi ya wadau wananiona mchochezi na mleta fujo na wakati nauliza maswali ya kawaida tu
Pamoja hunter.
 
Dah. Swali gumu sana.

Malengo binafsi hayana tena muda kwangu, sasa hivi malengo yangu ni kuelimisha yale machache niyajuayo. Umeiona signature yangu?
Sasa hivi natumia simu, niki log in kwa PC nitaiona.

Shukrani.
 
Kutokustahamili pale mtu naona kabisa ananidanganya na anapiga porojo. Huwa sistahamili nampa ukweli. Hilo limenigharimu sana na nimejaribu kijizuwia lakini imeshindikana, nikikaa kimya dhamira huwa inanisuta.

Namuomba Allah usiku na mchana aniongeezee subra.
stahamili [emoji735]

Stahimili[emoji736]

"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
 
Kutokustahamili pale mtu naona kabisa ananidanganya na anapiga porojo. Huwa sistahamili nampa ukweli. Hilo limenigharimu sana na nimejaribu kijizuwia lakini imeshindikana, nikikaa kimya dhamira huwa inanisuta.

Namuomba Allah usiku na mchana aniongeezee subra.
Binadamu tuko Na tabia tofauti tofauti tabia gani zinakupa ugumu kujichanganya Na watu !
Na kwa vipi unakaribiana nazo.
 
Kutokustahamili pale mtu naona kabisa ananidanganya na anapiga porojo. Huwa sistahamili nampa ukweli. Hilo limenigharimu sana na nimejaribu kijizuwia lakini imeshindikana, nikikaa kimya dhamira huwa inanisuta.

Namuomba Allah usiku na mchana aniongeezee subra.
Kijizuwia[emoji735]

Kujizuia [emoji736]

Aniongeezee[emoji735]

Aniongezee [emoji736]

Back
Top Bottom