FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Jibu na yakwetu uyu dj mizinguo sana anahodhi mjadala alafu anaenda speed yakinyonga.
Swali langu ni kwann awamu hii umepowa sana hautumii nguvu nyingi kutetea serikali ya Magufuli kama ulivyokuwa unatetea serikali ya Jakaya? nini kimekusibu?
Swali la pili: Unaonaje utawala wa Magufuli? unahisi anatupeleka sehemu sahii sisi taifa la tz?
Nna uhakika Rais ana nia njema kabisa. Kinachotustua ni style yake ya kuongoza.
Elewa kuwa Magufuli anasimamia na kutekeleza ilani ya CCM. Magufuli anatekeleza ilani ya CCM to the dot.
Mapungufu ya ilani hiyo hayakufafanua itekelezwe vipi, imeainisha tu ya kufanyiwa kazi, vipi yatafanyiwa kazi haikuwekwa.
Kuna daladala moja niliisoma imeandikwa "chizi kapewa rungu", ikanifikirisha sana. Nikacheka.