Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
[emoji106]Nipo kawaida tu.
Isipokuwa nawaasa vijana wasome. Kila kinachosomeka wakisome. Kuna njia rahisi sana ya kujielimisha mwenyewe. Ataependa nitamjuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Nipo kawaida tu.
Isipokuwa nawaasa vijana wasome. Kila kinachosomeka wakisome. Kuna njia rahisi sana ya kujielimisha mwenyewe. Ataependa nitamjuza.
Joseverest huyu sio wa mwanzo huyu sio muelewa ni mlalamishi sana kwa vitu vidogo cjui anatatzo gan?Sahihi tukisema hivi wengine wanatuona tumelewa tunaleta fujo kwenye huu uzi kumbe sio..inapendeza muandaaji akayasikiliza haya maoni lakini ndio kwanza anaanzisha ligi ndogo na baadhi ya watu...kuanzisha thread yeye isiwe ndio sababu ya kulimit maswali
Good evening!!
Baada ya interview nzuri Na miss natafuta,tunapenda kuwajulisha kuwa,mnamo saa kumi Na mbili jioni tutakuwa nae bibie Faiza foxy .
Ili kupata viovyo tofauti tofauti tunaomba ushiriki mwema Na wenye hekima kulingana Na umuhimu Na karba ya mgeni wetu Leo.
Asanteni.
Cuzoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cuzoo i love you![emoji23] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
hasa Hadith
Kichwa[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yupi huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.[/QUOTE]3 . HUU NI USHAURI WA MEMBERS WENGINE
Naomba tuwe na NIDHAMU ya interview kama tunataka kweli tujifunze, hizi interview sio kwa ajili ya kufurahisha tuu ila kuna mambo mengi ya kujifunza. Kwenye interview mtu anaweza kushare kitu adimu sana lakini kama kila mtu anauliza maswali tena bila mpangilio lazima tupoteze point na mengine hayatajibiwa kabisa.
Sehemu b, wasomaji tuache kupiga stori kwenye interview ya mtu. Hii kiti kinakera sana kwenye interview watu wanapiga stori kama wako pm...sio ishu naomba tuache wakuu.
Tuwe na ustaarabu ili tufaidi hizi interview. Nimesema hili na mimi nikiwa ni mmojawapo ya watu wenye hiyo tabia.
Kuna watu wanapenda kuingilia na kuaribu thread , tutakuombea BAN tuu. No way.
MIMI NIMEACHA HII TABIA. LEO MWISHO.
[/color]
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.
Ha ha haHuyo Ajuza atakurekebisha kwenye sentensi zako mwanzo mwisho.Ni mwalimu wa Kiswahili huko Ulaya.
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.[/QUOTE]3 . HUU NI USHAURI WA MEMBERS WENGINE
Naomba tuwe na NIDHAMU ya interview kama tunataka kweli tujifunze, hizi interview sio kwa ajili ya kufurahisha tuu ila kuna mambo mengi ya kujifunza. Kwenye interview mtu anaweza kushare kitu adimu sana lakini kama kila mtu anauliza maswali tena bila mpangilio lazima tupoteze point na mengine hayatajibiwa kabisa.
Sehemu b, wasomaji tuache kupiga stori kwenye interview ya mtu. Hii kiti kinakera sana kwenye interview watu wanapiga stori kama wako pm...sio ishu naomba tuache wakuu.
Tuwe na ustaarabu ili tufaidi hizi interview. Nimesema hili na mimi nikiwa ni mmojawapo ya watu wenye hiyo tabia.
Kuna watu wanapenda kuingilia na kuaribu thread , tutakuombea BAN tuu. No way.
MIMI NIMEACHA HII TABIA. LEO MWISHO.
[/color]
Ha ha ha haaaaaaAtaependa[emoji735]
Atayependa[emoji736]
Atakayependa[emoji736]
"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
Wasidumazwe na starehe zisizo na mipango.Kwanza napenda mwandiko wako kama ndivyo ulivyo 'nakupenda'.
Je unawashauri nini vijana wanaotumia muda mwingi kujadili wasanii (daimond na Alikiba) wanasiasa mitandaoni, vijiweni huku hawana kazi na hawajitumi?