Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

 
Kwenye uislam hakuna kitu kinaitwa albadir full stop.
Ipo inaitwa Abdul - badry kama hujasoma dini kaa kimya mkuu .inasoma kwakuwataja mashwahaba wamwenyezimungu .Nailisomwa kwenye vita ya badry .so Abdul badry so shirki .
 
Salam kwako bi faiza unawezaje kuhimili mihemko ya members wa humu?
Zamani enzi za jambo forums zilikuwa hoja za maana zinatamalaki, hata yule unaelumbana nae unajifunza kitu kwake.

Kikwete akaja kubadilisha game.

Sasa JF imekuwa kama dampo, kila mwenye uchafu wake anatupia humu. Inabidi tustahamiliane tu kwa kuwa nadhani hao ndiyo wenye kuhitaji msaada zaidi.

Siku hizi kuna kitu kimoja kinanishangaza! Masheikh, mapadri na wachungaji wanajazana nyumba za ibada tu. Kwanini hawafanyi mahubiri yao mbali na nyumba za ibada? Huko ndipo wanapohitajika zaidi kwa mtazamo wangu.

Jibu lake, nnahisi nahitajika zaidi JF.
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…