Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Nna uhakika Rais ana nia njema kabisa. Kinachotustua ni style yake ya kuongoza.

Elewa kuwa Magufuli anasimamia na kutekeleza ilani ya CCM. Magufuli anatekeleza ilani ya CCM to the dot.

Mapungufu ya ilani hiyo hayakufafanua itekelezwe vipi, imeainisha tu ya kufanyiwa kazi, vipi yatafanyiwa kazi haikuwekwa.

Kuna daladala moja niliisoma imeandikwa "chizi kapewa rungu", ikanifikirisha sana. Nikacheka.
 
Kwenye uislam hakuna kitu kinaitwa albadir full stop.
Ipo inaitwa Abdul - badry kama hujasoma dini kaa kimya mkuu .inasoma kwakuwataja mashwahaba wamwenyezimungu .Nailisomwa kwenye vita ya badry .so Abdul badry so shirki .
 
Salam kwako bi faiza unawezaje kuhimili mihemko ya members wa humu?
Zamani enzi za jambo forums zilikuwa hoja za maana zinatamalaki, hata yule unaelumbana nae unajifunza kitu kwake.

Kikwete akaja kubadilisha game.

Sasa JF imekuwa kama dampo, kila mwenye uchafu wake anatupia humu. Inabidi tustahamiliane tu kwa kuwa nadhani hao ndiyo wenye kuhitaji msaada zaidi.

Siku hizi kuna kitu kimoja kinanishangaza! Masheikh, mapadri na wachungaji wanajazana nyumba za ibada tu. Kwanini hawafanyi mahubiri yao mbali na nyumba za ibada? Huko ndipo wanapohitajika zaidi kwa mtazamo wangu.

Jibu lake, nnahisi nahitajika zaidi JF.
 
f4df3d9b7456878c0df5cb87307a9bf5.jpg
Good evening!!
Baada ya interview nzuri Na miss natafuta,tunapenda kuwajulisha kuwa,mnamo saa kumi Na mbili jioni tutakuwa nae bibie Faiza foxy .

Ili kupata viovyo tofauti tofauti tunaomba ushiriki mwema Na wenye hekima kulingana Na umuhimu Na karba ya mgeni wetu Leo.

Asanteni.

Good evening!!
Baada ya interview nzuri Na miss natafuta,tunapenda kuwajulisha kuwa,mnamo saa kumi Na mbili jioni tutakuwa nae bibie Faiza foxy .

Ili kupata viovyo tofauti tofauti tunaomba ushiriki mwema Na wenye hekima kulingana Na umuhimu Na karba ya mgeni wetu Leo.

Asanteni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom