Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Ukishasoma then what?
Ww umesema haipo that's y nikakwwmbia ipo .nasoshirki inasomwa msikitini pale msikitini hakuna miungu mingine .sasa unauliza nini kinatokea ??fanya tafiti kwawatu walosewa nini kiliwakumba .kiufupi so nzuri huwa inatafuna mpaka wasokuwepo wakimwepo watoto mke\mume .
 
Hyo albadir imethibiti wapi unaweza kunieleza? Au ndo wapotoshaji wenyewe
 
Hapana, sijaolewa.

AlhamduliLlah mimi na Mume wangu tumeoana kwa zaidi ya miaka 35 sasa.

Tuna watoto 5 nilipoteza wawili. La haula wala quwatta ila bi Llah.
Pole sana Mama kwa kupoteza watoto wako wawili hapo kwenye kuoana hata sijaelewa umenijibu haujaolewa halafu tena umeniambia mmeoana na mume wako
 
FaizaFoxy, hebu angalau kwa ufupi, uhuru wa kuabudu dini ya Uislam katika nchi za magharibi ukoje ukilinganisha na Afrika hasa Tanzania?
Neno kuabudu lina maana pana sana.

Kuabudu si kuswali pekee kama wengi wanavyofikiria.

Ibada ni kufanya yote ya halali na kuwacha yote ya haramu.

Ni mada kamili yenye mengi sana. Maisha anayoishi mwanadam huwa na mambo mengi, moja linaweza kuwa ni haramu kwa Muislam lakini si haramu kwa asiye Muislam likaleta utata.

Ndiyo maana tunaamrishwa tukumbushane mema na tukatazane mabaya.

Kuna kisa kimoja cha Sheikh mkubwa wa AL Azhar, Misr, alienda kutembea nchi za Magharibi kwa ziara ndefu. Aliporudi Misr, aliulizwa umekuta nini huko? Akajibu huko "nimekuta Uislam lakini Waislam hakuna, hapa kwetu Waislam wengi Uislam hakuna".
 
Shukran
 
Sijapata kusikia wala kuona "albadiri" ikisomwa msikitini.

Si kweli.
 
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.[/QUOTE]
watu wananogewa story kwenye interview,
wanatupoteza wapenzi wasomaji,
bora na wewe umeacha
uzi unafika mbaaali kwa stori za watu tu.
 
1) Malezi sasa hivi yamekuwa magumu sana. Wewe unajitahidi kulea na TV nayo inalea vingine. Play stations zinalea vingine. Day care wanalea vingine, a kianze chekechea nako anakumbana na malezi mengine.

Watoto wa siku hizi wanalelewa kwa shida sana, wanafikia mpaka wanachanganyikiwa, hawajuwi nani wakumfata.

Zamani tukilelewa na jamii nzima. Mtu mzima akikukuta njiani inafanya utovu basi atachukua hatua tena akiwa so proud kuwa a nafanya jema. Leo yanawezekana hayo?

Tujitahidi sana kuwa limit watoto na play stations na TV's.

Tunapowaanzisha shule tuhakikishe shule inafundisha maadili mema.

Ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…