Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza una umri gani ,umezaliwa wapi Na kwa sasa unajishughulisha Na nini?

Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumuuliza mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni "bibi" kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
 
Sawa bibie!
Nieleze vitu au tabia za pekee zilizokujenga kuwa Faiza foxy Leo!
 
Mama umeolewa? na una watoto wangapiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…