Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Nitawachukulia hatua hamna nia njema!
8d129fda438b6b72c268b8e2d0a62dd6.jpg
 
Unajua kichwa changu kigumu kuelewa chepesi kusahau.

Tuulize maswali muda huu atajibu baadae au Tuulize baadae hunter?
Hunter host Muosha Rungu amemkataza msailiwa kujibu maswali ya members..Tuvute subira mpaka baaadaeee hukooo atakapomaliza yeye kumuuliza ndio sisi tuulize...kwa hiyo ukiuliza swali tegemea kujibiwa baadae sana au HILO TAYARI LIMESHAJIBIWA

Sijaona mantiki ya hoja yake hapa kwa maana inapendeza ajibu papo kwa papo na ndio raha ya interview..

Hunter mimi sina mengi, nikisema hapa baadhi ya wadau wananiona mchochezi na mleta fujo na wakati nauliza maswali ya kawaida tu
 
Back
Top Bottom