Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Unaweza Fanya hivyo akiwa nyuzi zingine kumbuka hapa kuna watu wanafuatilia kimya tena ndio wengi,unaweza ona viewers.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

women fighting!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

kapige mswaki ulale
 
Tayari njoo ule
Mbona hujawaita hao wanawake wote wanaoji chatisha humu na i.d za ME

A.K.A LE TEAM UBUYU[emoji23] [emoji23] [emoji90] [emoji23] [emoji90] [emoji90] [emoji23] [emoji23]
 
Kwako maisha yana tafsiri ipi mujarabu kabisa?
Lengo lango la kuwa duniani ni lipi ikiwa utaulizwa!

Maisha ya duniani ni safari fupi sana kwa mwanadam. Maisha kwangu, umri uliopita umekuwa kama "adventure" ambayo siijutii.

Ibada, ibada, ibada. Tunaishi ili tuabudu. Wengi hawaelewi maana yake.

Kula vya halali ni ibada, kusoma ni ibada, kufanya kazi za halali ni ibada.

Kwa ufupi maisha tunayoishi ni ibada. Tuishi huku tukikumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom