FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hii ya leo ndo bonge la interview, ngoja nisricribe kabisa, ila kinachoharibu hizi interview chit-chat nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya leo ndo bonge la interview, ngoja nisricribe kabisa, ila kinachoharibu hizi interview chit-chat nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo, kwenye uzi huu kuchapia ruksa.Asijichanganye akachapia chapia Manake faiza ni kifimbo cheza wa JF
Umenifurahisha.Samahani nilikuwa namtayarishia Gozi (my pair) mahanjumati.
OK let's do it.
tegemea majibu mbuzi manake ana mdomo huyu mama, eeh, swali 1 unaweza usimuulize tena
faiza hivi albadiri inafanya kazi kweli?Si kweli. Huwa hunisomi vizuri tu.
Bado upo?Faiza akitokea hapa kujibu maswali najitoa JF!
faiza fox unazungumziaje swala la ukewenza? unaweza kuishi ukewenza?Si kweli. Huwa hunisomi vizuri tu.
Hapo itakuwa umekasirika.Msisahau kumuweka na sahani ya kitimoto wakati akiendelea kujibu maswali.
Uchochezi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
faiza hivi albadiri inafanya kazi kweli?
kwani sio dua inayotambulika kwenye uislam?Binafsi naichukulia kama shirki tu.
Uchawi upo na mashetani wapo.
faiza fox unazungumziaje swala la ukewenza? unaweza kuishi ukewenza?
kwani sio dua inayotambulika kwenye uislam?
asante kwa majibu yakoNi gumu sana lakini lipo.
Kwa umri huu sitegemei lakini who knows?
Ikitokea ntajitahid.
Yupi huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Shem hajambo[emoji38] [emoji38]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Picha haitumwi[emoji23] [emoji23]
Pitia swali namba 284 na 434Sijaiona kwenye Qur'an.