Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Nimesoma ushauri wa Babu Asprin na Transcend, naomba na mimi niongeze kitu kwa moderator DJ Sepetu;

1. Kwa baadhi ya Members ambao ni either high profile figures au wana muda kidogo unaweza kuweka thread mapema watu wakauliza maswali yao yote halafu baadae ukachagua maswali na kuyapanga kwa mtiririko ili kusiwe na kurudia rudia maswali. Then unafungua thread ya interview maswali yakiwa tayari yameandaliwa.

2. Maswali ya msingi yakishaisha, unaweza ukaruhusu random questions

3. Halafu kabla ya kum-interview mtu vizuri ukapitia profile yake mapema, unaweza kuelewa nini cha kuuliza au cha kuacha, fanya kama wanavyofanya journalists, mfano ukipitia uzi wa faizafoxy wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ungeweza kupata ABCs za uanzie wapi kwenye interview

NB: Hii kitu uliyoanzisha imekuwa kubwa tofauti na ilivotegemewa, ilianza kama utani lakini inazidi kukamata, kuna mapokezi ya kila aina kutoka kwenye hadhira, hivyo jipange na uweze kubadilika kulingana na unayemwinterview.
 
FaizaFoxy mimi nauliza maswali kadhaa tu ya mwisho kwa kuwa yale mengine umenijibu vyema..Nimevuta subra kama ulivyosema..

Sasa maswali yangu ni haya..

1: Unachukuliaje suala la Malezi ya watoto hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi? Uonavyo wazazi wanatimiza wajibu wao ipasavyo??

2: Kuna dhana imejengeka kwenye jamii yetu kuwa Mwanamke akipata elimu anakuwa na kiburi/majivuno na kumuona mumewe hafai, wewe unaonaje hili suala ni sawa au sawa? Je wewe limeshakukuta??

3: Ni kweli kuwa baadhi yenu nyie wanawake hampendani ninyi kwa ninyi?? Nini huchangia hili??

4: Ukipewa nafasi ya kuongeza/kupunguza kitu hapa JF ungeongeza nini au kupunguza nini...je unawashauri nini wamiliki wa mtandao huu pendwa??

5: Unawashauri nini vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mikato (shortcut)??

Na mwisho kabisa unapendelea kufanya nini upatapo muda wa ziada..

(Mimi maswali yangu ni hayo tu, ukinijibu nitashukuru sana, asante)

2. Ukiona hivyo ujuwe huyo shule alisomea ujinga.
 
3. Ukiona binaadam hampendi mwenzake ujuwe huyo ana matatizo.
 
Sijapata kusikia wala kuona "albadiri" ikisomwa msikitini.

Si kweli.
Bibi ww sihuwa unaslai nyuma ?soma vitabu vizuri .Badul badry .ilisomwa kipindi chavita gani ??ilisomwa wapi ??alisoma Nani ??nanani alishinda .usiwe mvivi wakusoma .
 
Nimesoma ushauri wa Babu Asprin na Transcend, naomba na mimi niongeze kitu kwa moderator DJ Sepetu;

1. Kwa baadhi ya Members ambao ni either high profile figures au wana muda kidogo unaweza kuweka thread mapema watu wakauliza maswali yao yote halafu baadae ukachagua maswali na kuyapanga kwa mtiririko ili kusiwe na kurudia rudia maswali. Then unafungua thread ya interview maswali yakiwa tayari yameandaliwa.

2. Maswali ya msingi yakishaisha, unaweza ukaruhusu random questions

3. Halafu kabla ya kum-interview mtu vizuri ukapitia profile yake mapema, unaweza kuelewa nini cha kuuliza au cha kuacha, fanya kama wanavyofanya journalists, mfano ukipitia uzi wa faiza foxy wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ungeweza kupata ABCs za uanzie wapi kwenye interview

NB: Hii kitu uliyoanzisha imekuwa kubwa tofauti na ilivotegemewa, ilianza kama utani lakini inazidi kukamata, kuna mapokezi ya kila aina kutoka kwenye hadhira, hivyo jipange na uweze kubadilika kulingana na unayemwinterview.
I second you mkuu.
 
Nimesoma ushauri wa Babu Asprin na Transcend, naomba na mimi niongeze kitu kwa moderator DJ Sepetu;

1. Kwa baadhi ya Members ambao ni either high profile figures au wana muda kidogo unaweza kuweka thread mapema watu wakauliza maswali yao yote halafu baadae ukachagua maswali na kuyapanga kwa mtiririko ili kusiwe na kurudia rudia maswali. Then unafungua thread ya interview maswali yakiwa tayari yameandaliwa.

2. Maswali ya msingi yakishaisha, unaweza ukaruhusu random questions

3. Halafu kabla ya kum-interview mtu vizuri ukapitia profile yake mapema, unaweza kuelewa nini cha kuuliza au cha kuacha, fanya kama wanavyofanya journalists, mfano ukipitia uzi wa faizafoxy wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ungeweza kupata ABCs za uanzie wapi kwenye interview

NB: Hii kitu uliyoanzisha imekuwa kubwa tofauti na ilivotegemewa, ilianza kama utani lakini inazidi kukamata, kuna mapokezi ya kila aina kutoka kwenye hadhira, hivyo jipange na uweze kubadilika kulingana na unayemwinterview.
Taken, we will see!
 
Sijakupata hapo unaposema kuwa Na threads mbili ya maswali Na ya interview! Imekaaje hapo!
 
Huyo hajachapia, hajuwi wapi pakuweka R na wapi pakuweka L.

Ni darsa la bure hilo.
Hahahah
Navaa nguo za aina zote, saa zingine sivai kabisa, inategemea na "situation".
Hahahahah umenifanya nicheke, kwamba wakati mwingine huvai nguo!!! do you fly at night? Sometimes uwa una michango ya maana sometimes not, The problem I see in you, you are too emotional. You do not need to use offensive language against those asking irrelevant questions. You can opt to ignore their questions.
 
Sijakupata hapo unaposema kuwa Na threads mbili ya maswali Na ya interview! Imekaaje hapo!

Kwa mfano kuna kipindi alihojiwa Zitto K hapa jamvini, kilichofanyika members walipewa taarifa ya uwepo wa interview some days before wakaanza kuweka maswali yao, baada ya hapo host AshaDii akayachambua maswali yale na kuyaweka kimtiririko, hii inaepuka maswali kujirudia rudia, baada ya hapo unamtumia hayo maswali anajiandaa nayo.

So, siku ya interview unakuwa unauliza moja baada ya jingine kwa mtiririko uliopangwa vizuri, na muhusika anakuwa anajibu very detailed kwa sababu maswali alishayapata mapema na kujiandaa nayo; hii inaepuka vile mtu anajikuta anajibu short short na tunakuwa hatupati utamu wa kile ambacho tungepata kama angepata muda wa kujiandaa.

Baada ya kumaliza yale maswali yaliyoandaliwa, yanaanza maswali mengine randomly, nje ya yale ya msingi, hapa chitchat zinachukua mkondo wake.
 
Thanks mkuu
 
Pamoja mkuu, before sikuweka interest ya hizi interview zako kwa sababu ya muundo wa maswali yako na short responses kutoka kwa wageni, ila recently nimekuwa napata muda kidogo wa kupitia nikaona kabisa kuna kitu unaweza kufanya ili kuvutia hadhira tofauti tofauti.

Pamoja sana mkuu.
Much love!
 
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.

napita tu na kukusalimu uwe na ijumaa njema!

cc Curious gal vilio vyetu vitasikika soon[/QUOTE]

Bora maana ilikuwa too much
 
Back
Top Bottom