FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nipe namba ya post.Maswali yangu umeyaruka hujayajibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe namba ya post.Maswali yangu umeyaruka hujayajibu
FaizaFoxy mimi nauliza maswali kadhaa tu ya mwisho kwa kuwa yale mengine umenijibu vyema..Nimevuta subra kama ulivyosema..
Sasa maswali yangu ni haya..
1: Unachukuliaje suala la Malezi ya watoto hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi? Uonavyo wazazi wanatimiza wajibu wao ipasavyo??
2: Kuna dhana imejengeka kwenye jamii yetu kuwa Mwanamke akipata elimu anakuwa na kiburi/majivuno na kumuona mumewe hafai, wewe unaonaje hili suala ni sawa au sawa? Je wewe limeshakukuta??
3: Ni kweli kuwa baadhi yenu nyie wanawake hampendani ninyi kwa ninyi?? Nini huchangia hili??
4: Ukipewa nafasi ya kuongeza/kupunguza kitu hapa JF ungeongeza nini au kupunguza nini...je unawashauri nini wamiliki wa mtandao huu pendwa??
5: Unawashauri nini vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mikato (shortcut)??
Na mwisho kabisa unapendelea kufanya nini upatapo muda wa ziada..
(Mimi maswali yangu ni hayo tu, ukinijibu nitashukuru sana, asante)
Mimi napenda sana. Tafadhali naomba nijuzeNipo kawaida tu.
Isipokuwa nawaasa vijana wasome. Kila kinachosomeka wakisome. Kuna njia rahisi sana ya kujielimisha mwenyewe. Ataependa nitamjuza.
FaizaFoxy mimi nauliza maswali kadhaa tu ya mwisho kwa kuwa yale mengine umenijibu vyema..Nimevuta subra kama ulivyosema..
Sasa maswali yangu ni haya..
1: Unachukuliaje suala la Malezi ya watoto hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi? Uonavyo wazazi wanatimiza wajibu wao ipasavyo??
2: Kuna dhana imejengeka kwenye jamii yetu kuwa Mwanamke akipata elimu anakuwa na kiburi/majivuno na kumuona mumewe hafai, wewe unaonaje hili suala ni sawa au sawa? Je wewe limeshakukuta??
3: Ni kweli kuwa baadhi yenu nyie wanawake hampendani ninyi kwa ninyi?? Nini huchangia hili??
4: Ukipewa nafasi ya kuongeza/kupunguza kitu hapa JF ungeongeza nini au kupunguza nini...je unawashauri nini wamiliki wa mtandao huu pendwa??
5: Unawashauri nini vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mikato (shortcut)??
Na mwisho kabisa unapendelea kufanya nini upatapo muda wa ziada..
(Mimi maswali yangu ni hayo tu, ukinijibu nitashukuru sana, asante)
Bibi ww sihuwa unaslai nyuma ?soma vitabu vizuri .Badul badry .ilisomwa kipindi chavita gani ??ilisomwa wapi ??alisoma Nani ??nanani alishinda .usiwe mvivi wakusoma .Sijapata kusikia wala kuona "albadiri" ikisomwa msikitini.
Si kweli.
I second you mkuu.Nimesoma ushauri wa Babu Asprin na Transcend, naomba na mimi niongeze kitu kwa moderator DJ Sepetu;
1. Kwa baadhi ya Members ambao ni either high profile figures au wana muda kidogo unaweza kuweka thread mapema watu wakauliza maswali yao yote halafu baadae ukachagua maswali na kuyapanga kwa mtiririko ili kusiwe na kurudia rudia maswali. Then unafungua thread ya interview maswali yakiwa tayari yameandaliwa.
2. Maswali ya msingi yakishaisha, unaweza ukaruhusu random questions
3. Halafu kabla ya kum-interview mtu vizuri ukapitia profile yake mapema, unaweza kuelewa nini cha kuuliza au cha kuacha, fanya kama wanavyofanya journalists, mfano ukipitia uzi wa faiza foxy wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ungeweza kupata ABCs za uanzie wapi kwenye interview
NB: Hii kitu uliyoanzisha imekuwa kubwa tofauti na ilivotegemewa, ilianza kama utani lakini inazidi kukamata, kuna mapokezi ya kila aina kutoka kwenye hadhira, hivyo jipange na uweze kubadilika kulingana na unayemwinterview.
Taken, we will see!Nimesoma ushauri wa Babu Asprin na Transcend, naomba na mimi niongeze kitu kwa moderator DJ Sepetu;
1. Kwa baadhi ya Members ambao ni either high profile figures au wana muda kidogo unaweza kuweka thread mapema watu wakauliza maswali yao yote halafu baadae ukachagua maswali na kuyapanga kwa mtiririko ili kusiwe na kurudia rudia maswali. Then unafungua thread ya interview maswali yakiwa tayari yameandaliwa.
2. Maswali ya msingi yakishaisha, unaweza ukaruhusu random questions
3. Halafu kabla ya kum-interview mtu vizuri ukapitia profile yake mapema, unaweza kuelewa nini cha kuuliza au cha kuacha, fanya kama wanavyofanya journalists, mfano ukipitia uzi wa faizafoxy wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ungeweza kupata ABCs za uanzie wapi kwenye interview
NB: Hii kitu uliyoanzisha imekuwa kubwa tofauti na ilivotegemewa, ilianza kama utani lakini inazidi kukamata, kuna mapokezi ya kila aina kutoka kwenye hadhira, hivyo jipange na uweze kubadilika kulingana na unayemwinterview.
Sijakupata hapo unaposema kuwa Na threads mbili ya maswali Na ya interview! Imekaaje hapo!Nimesoma ushauri wa Babu Asprin na Transcend, naomba na mimi niongeze kitu kwa moderator DJ Sepetu;
1. Kwa baadhi ya Members ambao ni either high profile figures au wana muda kidogo unaweza kuweka thread mapema watu wakauliza maswali yao yote halafu baadae ukachagua maswali na kuyapanga kwa mtiririko ili kusiwe na kurudia rudia maswali. Then unafungua thread ya interview maswali yakiwa tayari yameandaliwa.
2. Maswali ya msingi yakishaisha, unaweza ukaruhusu random questions
3. Halafu kabla ya kum-interview mtu vizuri ukapitia profile yake mapema, unaweza kuelewa nini cha kuuliza au cha kuacha, fanya kama wanavyofanya journalists, mfano ukipitia uzi wa faizafoxy wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ungeweza kupata ABCs za uanzie wapi kwenye interview
NB: Hii kitu uliyoanzisha imekuwa kubwa tofauti na ilivotegemewa, ilianza kama utani lakini inazidi kukamata, kuna mapokezi ya kila aina kutoka kwenye hadhira, hivyo jipange na uweze kubadilika kulingana na unayemwinterview.
HahahahHuyo hajachapia, hajuwi wapi pakuweka R na wapi pakuweka L.
Ni darsa la bure hilo.
Hahahahah umenifanya nicheke, kwamba wakati mwingine huvai nguo!!! do you fly at night? Sometimes uwa una michango ya maana sometimes not, The problem I see in you, you are too emotional. You do not need to use offensive language against those asking irrelevant questions. You can opt to ignore their questions.Navaa nguo za aina zote, saa zingine sivai kabisa, inategemea na "situation".
Sijakupata hapo unaposema kuwa Na threads mbili ya maswali Na ya interview! Imekaaje hapo!
Thanks mkuuKwa mfano kuna kipindi alihojiwa Zitto K hapa jamvini, kilichofanyika members walipewa taarifa ya uwepo wa interview some days before wakaanza kuweka maswali yao, baada ya hapo host AshaDii akayachambua maswali yale na kuyaweka kimtiririko, hii inaepuka maswali kujirudia rudia, baada ya hapo unamtumia hayo maswali anajiandaa nayo.
So, siku ya interview unakuwa unauliza moja baada ya jingine kwa mtiririko uliopangwa vizuri, na muhusika anakuwa anajibu very detailed kwa sababu maswali alishayapata mapema na kujiandaa nayo; hii inaepuka vile mtu anajikuta anajibu short short na tunakuwa hatupati utamu wa kile ambacho tungepata kama angepata muda wa kujiandaa.
Baada ya kumaliza yale maswali yaliyoandaliwa, yanaanza maswali mengine randomly, nje ya yale ya msingi, hapa chitchat zinachukua mkondo wake.
Thanks mkuu
Much love!Pamoja mkuu, before sikuweka interest ya hizi interview zako kwa sababu ya muundo wa maswali yako na short responses kutoka kwa wageni, ila recently nimekuwa napata muda kidogo wa kupitia nikaona kabisa kuna kitu unaweza kufanya ili kuvutia hadhira tofauti tofauti.
Pamoja sana mkuu.
Handsome wangu mbona zile PM zote nimejibuMrembo PM zangu hujibu,ila huku kwenye mambo hadharani unaniaibisha,sawa bwana...ila ningependa weekend hii tukanywe mbege!
Hahaa,na sura hii ngumu kama ya watu wasiojulikana bdo unaniita handsome!... Uhakika we ni wife material, unajivunia kilicho chako hata kama kibaya!Handsome wangu mbona zile PM zote nimejibu
Muosha nanii unaibiwa kweupe haaaaaNaomba baby uchague mpenzi mmoja!
hii ni ukweli mtupu, yaani kuna muda unaamua hata usifuatilie maana unakutana na comments za story hadi unaona uvivu kufuatilia hiyo interview maana ni mvurugano tu.