Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Status
Not open for further replies.
This is not fair guys..huyu ana miaka 15..JF ikiamua kumchafua mtu..dahh!!!

jaribu kushirikisha ubongo wewe, hata kama akiwa na miaka 15 na ajali ya Mv.BUKOBA ni miaka 16 sasa na yeye anadai anakumbuka tukio zima na alikuwa na akili timamu, Use your Mind
 
Watu wanaongea kwa fact pera., prove me wrong kwa hizo statement zake mbili alizozizungumza mwenyewe
 
jamani huyu mtoto ana miaka 16 ni vyakula 2navyokula siku hizi kama kwenu wanauwezo we unafikiri chakula anachokula huyu unaweza kulinganisha na unachokula we
 
mi naamini ana miaka 16 coz sisi 2liobahatika kufanya biashara maeneo wanapokaa matajiri au walionaza 2nafahamu zaidi jinsi watoto wao wanavyokula
 
kwa mfano kuna mtoto namfahamu ana miaka 13 but ukimuona unaweza sema ana 18-20 kwahiyo mi nimemjaji kwa ninavyomfahamu
 
Mkuu,soma post ya Kalulu vizuri kaweka facts kwa nini anahisi ni uongo na hajazungumzia muonekano wake.Wewe unakwepa hoja ya msingi unadwell kwenye muonekano.BTW wewe unaweza kukumbuka mambo yaliyotekea mbele ya macho yako ukiwa chini ya mwaka mmoja? Nijuavyo unaweza kukumbuka mambo uliyoyaona ukiwa 3+ years na si chini ya hapo mkuu.Do your homework!!
 
Wanajimix,but ipo siku ukwel utajulikana..wamulize Lulu..njia ya mwongo,fupi sana..teh mwacheni na life lake,nex'year anaturn 14! Happy coming birthday kiddo
 
Duh......kuna watu wanachangia kwa maneno ya dharau!!! Yaani utadhani wana malice na hako katoto!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom